John Gregory
JF-Expert Member
- Jul 14, 2019
- 1,137
- 2,147
Ujinga ni kipajiYanga imesheheni watu wa fitna za mpira na waganga wa kienyeji..
Hawana maajabu yeyote.
-- Dismiss case..
Au sio πππYanga haijulikani nani kocha nani mchezaji
SAMALEKOHata huyu mchezaji garasa waliomsajili juzi, huyu Fiston sijui, hana lolote kabisa!
kakojoe ukalale.unateseka ukiwa wapi sa hvNafuatilia game ya Mbeya city na Yanga, kiukweli kiwango kibovu kinachoonyeshwa na Yanga inashangaza! Haijulikani wanacheza fomesheni gani, yaani haijulikani wamewezaje kuongoza ligi mpaka sasa, Mbeya city inayoburuza mkia haionekani kama ina tofauti yoyote na Yanga yenye wachezaji wa Kimataifa.
Tatizo la timu hii haijulikani kama ni wachezaji au ni kocha, ni timu mbovu kuliko maelezo.
Sisi kama nchi tukithubutu kukubali kuwakilishwa na timu hii kwenye michuano ya kimataifa itakuwa aibu ya karne.
Mnafukua makaburi siyo !Kumbe huyu jamaa AKILI hamna kichwanj
Teh teh teh chutamaaaaMnafukua makaburi siyo !
Si haki kufukua makaburi ya zamani jamani mtakutana na mifupa ya marehemuTeh teh teh chutamaaaa