Timu mbovu ya Yanga imewezaje kuongoza ligi hadi sasa?

Timu mbovu ya Yanga imewezaje kuongoza ligi hadi sasa?

Nafuatilia game ya Mbeya city na Yanga, kiukweli kiwango kibovu kinachoonyeshwa na Yanga inashangaza! Haijulikani wanacheza fomesheni gani, yaani haijulikani wamewezaje kuongoza ligi mpaka sasa, Mbeya city inayoburuza mkia haionekani kama ina tofauti yoyote na Yanga yenye wachezaji wa Kimataifa.

Tatizo la timu hii haijulikani kama ni wachezaji au ni kocha, ni timu mbovu kuliko maelezo.

Sisi kama nchi tukithubutu kukubali kuwakilishwa na timu hii kwenye michuano ya kimataifa itakuwa aibu ya karne.
kakojoe ukalale.unateseka ukiwa wapi sa hv
 
Back
Top Bottom