Makoye Matale
JF-Expert Member
- May 2, 2011
- 6,491
- 2,104
Kwani tumechomekwa kwenye nini hadi utuambie hatuchomoki? (JK, c.a. 2015).Hamchomoki hapo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani tumechomekwa kwenye nini hadi utuambie hatuchomoki? (JK, c.a. 2015).Hamchomoki hapo
1.YANGA SC - Tanzania.
2.TP MAZEMBE - Congo
3.ETOILE DU SAHEL - Tunisia
4.MADIAMA - Ghana
5 .AL AHLY TRIPOL - Libya
6.MO Bejaia - Algeria
7.FUS Rabat - Morocco
8.Kawkab Marrakech - Morocco
Mungu Ibariki Tanzania, Mungu Ibariki Yanga.
Hamchomoki hapo
Haji Manara unapenda kujipa moyo wa roho mbaya,kwanini unaroho yakishenzi kiasi hicho ???Hamchomoki hapo
Balaa lipi,kwa uchawi au figisu figisu ???...hizo timu mbona zote balaa, naangalia saizi ya kandambili siioni!, anyway, hongereni mko huko sisi bado tunahangaika na yale matapeli yetu,hata sijui yataondoka lini!
Ni kweli lakini mtasubiri sanaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!Yebo aka Madaso ananyukwa iyo cku mtaona tu
Mkuu sikutegemea uijib hiyo post sasa yebo au madaso ndio timu gan tena?Ni kweli lakini mtasubiri sanaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!
Mkuu haina ubishi wanatuita Yebo, Madaso au vyovyote vile nasi tunawaita mikia, vyura, wamatopeni, wamchangani n.k. haijalishi jina ni lipi, cha msingi anayeandika anailenga timu gani. Kumjibu hivyo sikumaanisha kukubali majina hayo kama wao wasivyokubali majina tunayowapachika.Mkuu sikutegemea uijib hiyo post sasa yebo au madaso ndio timu gan tena?
mkalipe deni FIFA la mchezaji wenu la sivyo mtashushwa daraja sasa tutamtania nani wa matopeni?mambo ya yanga tuachieni wanayanga.Yanga atashinda mechi moja ya nyumbani, hizo nyingine ndio basi tena chura ananesanesa!!
Makundi Tayari Wakuu
KUNDI A
Etoile du Sahel(Tunisia)
Madeama(Ghana)
Young African(Tanzania)
Fus Rabat(Morocco)
KUNDI B
TP Mazembe(DRC)
Mo Bejaia(Algeria)
Kawkab Marrakechi(Morocco)
Al Ahly Tripoli(Libya)