Timu nane zilizoingia robo fainaili Kombe la Shirikisho Afrika hizi hapa

Timu nane zilizoingia robo fainaili Kombe la Shirikisho Afrika hizi hapa

1.YANGA SC - Tanzania.
2.TP MAZEMBE - Congo
3.ETOILE DU SAHEL - Tunisia
4.MADIAMA - Ghana
5 .AL AHLY TRIPOL - Libya
6.MO Bejaia - Algeria
7.FUS Rabat - Morocco
8.Kawkab Marrakech - Morocco
Mungu Ibariki Tanzania, Mungu Ibariki Yanga.

list imekaa powa ... Simba wanaumia kinoma
 
...hizo timu mbona zote balaa, naangalia saizi ya kandambili siioni!, anyway, hongereni mko huko sisi bado tunahangaika na yale matapeli yetu,hata sijui yataondoka lini!
 
...hizo timu mbona zote balaa, naangalia saizi ya kandambili siioni!, anyway, hongereni mko huko sisi bado tunahangaika na yale matapeli yetu,hata sijui yataondoka lini!
Balaa lipi,kwa uchawi au figisu figisu ???
 
Eti Yanga haichomoki hapo. Kwani ilichomeka nini?
 
Fitna za simba bahati ya yangu, kitaeleweka tu yangu go go go ale ale aleeee
 
Mkuu sikutegemea uijib hiyo post sasa yebo au madaso ndio timu gan tena?
Mkuu haina ubishi wanatuita Yebo, Madaso au vyovyote vile nasi tunawaita mikia, vyura, wamatopeni, wamchangani n.k. haijalishi jina ni lipi, cha msingi anayeandika anailenga timu gani. Kumjibu hivyo sikumaanisha kukubali majina hayo kama wao wasivyokubali majina tunayowapachika.

Ujumbe uliopo hapo Mkuu ni kuwa:

Yanga daima mbele, Simba watasubiri sanaaaaaaaaaaaaa!
 
Makundi Tayari Wakuu
KUNDI A
Etoile du Sahel(Tunisia)
Madeama(Ghana)
Young African(Tanzania)
Fus Rabat(Morocco)

KUNDI B
TP Mazembe(DRC)
Mo Bejaia(Algeria)
Kawkab Marrakechi(Morocco)
Al Ahly Tripoli(Libya)
 
Yanga atashinda mechi moja ya nyumbani, hizo nyingine ndio basi tena chura ananesanesa!!
 
Yanga atashinda mechi moja ya nyumbani, hizo nyingine ndio basi tena chura ananesanesa!!
mkalipe deni FIFA la mchezaji wenu la sivyo mtashushwa daraja sasa tutamtania nani wa matopeni?mambo ya yanga tuachieni wanayanga.
 
Back
Top Bottom