Timu sitini na tatu wagombania Simba day

Timu sitini na tatu wagombania Simba day

Zitaje hizo timu 68..Mikia bhana kipindi kile mlikuwa misukule ya Manara chochote anachosema mnamuamini siku hizi yupo tumbo chochote atakachokiongea na yeye mnamuamini mna matope kichwan na sio akili
umeumia?
 
wakali wa hizi kazi Sasa sisi tunasema kama wanagombania kucheza na Mnyama tuwaundie mashindano wiki ya Mnyama mkali kisha mshindi aje acheze na wana Lunyasi maana watapata wanachostahili
hii sawa
 
Naumwa yapata wiki sasa kwa jinsi ninavyoipenda Simba yangu.
Wallahi mahabba makubwa.
 
Hizi sio zandani wala nini.

Bwana Eze Kamwaga anatuambia timu nyingi sana kutoka kila pembe ya Afrika wanagombania nafasi ya kushiriki simba day timu kubwa kubwa kuanzia zenye makombe nane ya Afrika mpaka kajamba nani huko wanagombea fursa adimu ya kuonekana duniani kucheza kwa Mkapa na Wana Lunyasa pira biriani pira drafti.

wakali wa hizi kazi Sasa sisi tunasema kama wanagombania kucheza na Mnyama tuwaundie mashindano wiki ya Mnyama mkali kisha mshindi aje acheze na wana Lunyasi maana watapata wanachostahili

Ile video ya watu kugombania jersey ya simba imeenda mbali mpaka Frorentino Perez ameuliza hawa wanatokea nchi gani nataka game ya kirafiki Simba day ya msimu ujao

Kuna level hapo na standard kubwa sana kati yetu na Misukule

Tukutane kwa mkapa na jezi yako tarehe 19 mapema tu saa mbili kasoro
hizo zitakua timu za ndondo cup.....
 
Simba bwana mnafurahisha sana mnajitekenya na kucheka wenyewe,hahahahahaaa mjiandae kisaikolojia msimu huu lazima mfe kibudu,hambebi kikombe hata kimoja na kwenye klabu bingwa mnatoka mapema sana.Ni suala la Muda tu,sababu kikosi chenu ni dhaifu sana.
 
Hakuna timu ata moja ambayo imewahi kuchukua kikombe Cha Afrika itakuja kucheza Simba day achana na habari za vikombe zaidi ya kimoja. Simba Haina uwezo wa kugharamia timu yoyote Afrika iliyopo katika top 7 ije dar kucheza Simba day. Labda vita maana wapo kibiashara zaidi Ila timuzote kubwa schedule yao ya msimu mpya uwa imeandaliwa miezi kumi kabla.
Hawana uwezo huo tajiri kila siku analalamika anaendesha timu kwa hasara haoni faida yoyote,wao followers wake masikini wanatamba timu ina hela inaingiza faida ukiwauliza chanzo Cha mapato ni kipi hawana majibu yanayoeleweka,Makolokolo hawa pamoja na kufanikiwa kucheza klabu bingwa na kufika hatua ya robo fainali mara kadhaa na kupewa mpunga Bado tajiri analalamika kuendesha klabu hiyo kwa miaka 4 ametoa hela zake mfukoni zaidi ya uwekezaji alioufanya ni hasara kwenda mbele.Msimu huu ndiyo kabisa hovyo kabisa wenzake Yanga wamechukua mkataba kwa Azam wanakula Mpunga wa kusaidia kuendesha timu na Bado msimu ataendelea kulalamika mwishowe atalisusa litimu lenyewe na kuliacha lijifie na madeni lukuki kwa Taarifa za chinichini litimu lina mikopo hatari amekopea kuliendesha wao kama mazuzu hayahoji yameufyata tu .Muda utasema,mvua itanyesha tutajua panapovuja.
 
umeona kuna neno utopolo hapo juu ?
Mualikeni mwanaume wa shoka ,Bingwa wa kihistoria,Bingwa wa kumfunga Simba usiku na mchana Yanga mwenyewe kwenye Tamasha letu muone kitakachowakuta kudadadeki zenu
 
Back
Top Bottom