Timu ya angani ya Red Bull "Tai Mwekundu" yafanya maonyesho ya safari za ndege yafanyika Nanchang, China

ldleo

JF-Expert Member
Joined
Jan 9, 2010
Posts
1,116
Reaction score
1,121

Maonyesho ya safari za ndege yafanyika Nanchang, China

Wakati hali ya hewa katika Uwanja wa Ndege wa Yaohu huko mjini Nanchang ikiwa nzuri, maonyesho ya safari za ndege yalifanyika kwa siku ya pili huko Nanchang, mkoani Jiangxi.

Mkutano wa Sekta ya Usafiri wa Anga ya China na Maonesho ya Ndege ya Nanchang yalifunguliwa huko Nanchang kuanzia tarehe 25 na kuendelea hadi tarehe 27 Novemba mwaka 2022.

Timu nyingi za anga kutoka Chuo Kikuu cha Anga cha China, Russia na Afrika Kusini zimefanya maonyesho mazuri chini ya anga ya buluu na mawingu meupe.





 
Mchina asiingie kwanza kwenye soko la biashara ya anga
Bado anamengi kujifunza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…