kavulata
JF-Expert Member
- Aug 2, 2012
- 13,778
- 14,214
Mfano, kama Sure Boy angetakiwa na Simba angeruhusiwa kwenda Simba na kama Perfect Chikwendwe angetakiwa na Yanga angesajiliwa na Azam.
Azam imejaza viongozi na wachezaji wasiokuwa na moyo na Azam, wako Azam kwasababu ya hela tu ya tajiri wao tu.
Wachezaji na viongozi wanaihujumu timu kwa kuzilinda "timu zao" wanazopenda.
Rais Kikwete analifahamu hili pia na aliwaonya Azam kuepuka kushabikia timu nyingine nchini lakini walimpuuza.
Azam ina kila kitu lakini wachezaji hawajitumi. Hakuna mchezaji asiyependa kushangiliwa, Azam hakuna washangiliaji.
Mpaka hapo Azam itakapobadilisha mtazamo, haitafanya vizuri kwenye soka.