Ukweli upi? Utopolo haiko smart , hivi kweli waweke dau nono la kumnunua sure boy Azam watakataa vipi? Vile vile sure boy mwenyewe hataki kuchezea utopolo . Kwa jinsi mikataba ya wachezaji wa ligi hii ilivyo yaani miaka miwili miwili ni rahisi sana mchezaji kutoongeza mkataba ili atimkie klabu anayoitaka .Kwa hiyo ni sure boy mwenyewe ndie hawataki utopolo.
Vile vile ukiona mchezaji uliekuwa una mtaka kasajiliwa na klabu nyingine ujue hujamvutia either kimaslahi, miundo mbinu au mashindano unayoshiriki. Kwa sababu hizi ni kipi utopolo wanaizidi Azam? Azam wanatuma ndege kwenda kumchukua mchezaji (Wadada), wana uwanja wao, sasa ni kwa vipi mchezaji aikatae Azam aende utopolo ambako hana uhakika kesho atafanyia wapi mazoezi. Kwa hiyo utopolo kushindwa kusajili mchezaji wanaemtaka mchawi ni utopolo mwenyewe.