Sio yanga inalalamika, yanga inaongoza ligi na imechukua tayari kombe LA mapinduzi kwa kuichapa Simba, haina inacholalamikia zaidi ya kuonyesha ujinga wa mahasimu wa yanga.Hivi yanga kwann kila siku nyie ni malalamiko tu?
Mnakera sana.
We jamaa ni pumba sana, huu ugoro ulioandika ni upuuzi mtupu, eti wachezaji wa Azam wanaoipenda Yanga, huo ni ugoro. Ina maana Azam kufungwa huko Tanga imekua nongwa, juzi tu hapa utopolo mumepigwa na watoto daraja la chini pamoja na jitihada kubwa kujaribu kukomboa goli kukiwa na kikosi kikubwa, haikuwezekana, kwa nini uilaumu Azam leo kufungwa na C.Union?Sio yanga inalalamika, yanga inaongoza ligi na imechukua tayari kombe LA mapinduzi kwa kuichapa Simba, haina inacholalamikia zaidi ya kuonyesha ujinga wa mahasimu wa yanga.
Azam ina kila kitu kinachohitajika kwenye soka lakini hakuna inachokifanya zaidi ya kuchapwa na vitimu visivyokuwa na kila kitu.
Mechi ya juzi Azam ingeweza kuifunga Simba bao 2-1 lakini viongozi na wachezaji wote hawapendi kuona Simba ikifungwa. Hata hayo mabao 2 waliofunga ni juhudi binafsi za wachezaji wa Azam wenye mapenzi na Yanga.
Na Moira ukachezwa kwa DKK 5 baada ya zile 90.We jamaa ni pumba sana, huu ugoro ulioandika ni upuuzi mtupu, eti wachezaji wa Azam wanaoipenda Yanga, huo ni ugoro. Ina maana Azam kufungwa huko Tanga imekua nongwa, juzi tu hapa utopolo mumepigwa na watoto daraja la chini pamoja na jitihada kubwa kujaribu kukomboa goli kukiwa na kikosi kikubwa, haikuwezekana, kwa nini uilaumu Azam leo kufungwa na C.Union?
Yaani hawa vidimbwi wako kama machangudoa vile wanakera sanaHivi yanga kwann kila siku nyie ni malalamiko tu?
Mnakera sana.
Viongozi wote wa azam wapo kwa ajili ya kuisaidia simba na kuipiga vita yangaMfano, kama Sure Boy angetakiwa na Simba angeruhusiwa kwenda Simba na kama Perfect Chikwendwe angetakiwa na Yanga angesajiliwa na Azam..
Ukweli upi? Utopolo haiko smart , hivi kweli waweke dau nono la kumnunua sure boy Azam watakataa vipi? Vile vile sure boy mwenyewe hataki kuchezea utopolo . Kwa jinsi mikataba ya wachezaji wa ligi hii ilivyo yaani miaka miwili miwili ni rahisi sana mchezaji kutoongeza mkataba ili atimkie klabu anayoitaka .Kwa hiyo ni sure boy mwenyewe ndie hawataki utopolo.Ukweli mtupu !
Mechi za kirafiki na mechi za ligi zina malengo tofauti. Lakini, African Sports na Yanga wana uhusiano usiokwisha.We jamaa ni pumba sana, huu ugoro ulioandika ni upuuzi mtupu, eti wachezaji wa Azam wanaoipenda Yanga, huo ni ugoro. Ina maana Azam kufungwa huko Tanga imekua nongwa, juzi tu hapa utopolo mumepigwa na watoto daraja la chini pamoja na jitihada kubwa kujaribu kukomboa goli kukiwa na kikosi kikubwa, haikuwezekana, kwa nini uilaumu Azam leo kufungwa na C.Union
Hata kama wakifanya hivyo, hao wachezaji hodari wakikua watapelekwa Simba. Kwani mzee hukuona akina Bocco, Nyoni, Mess walivyokwenda kuiimarisha Simba na kuiacha Azam ikihanyahanya kwa kubalisha makocha na wachezaji?Azam waache kushindana na Simba na Yanga.
Wala wasifanye mambo yanayofanywa na Simba na Yanga na wasitake ubingwa kama ndiyo short term goal, bali waanze kufundisha watoto wadogo wa East na Southern Africa ili waje kuwa na
1. Team ambayo imekuzwa tangu utotoni kwa pamoja.
2. Kujenga brand hasa kwa watoto na teenagers ambao baadae ndiyo watakuwa washabiki na viongozi waendeshaji wa Timu.
Waache kununua wachezaji kutoka nje kwa sababu hapo ndiyo upigaji unapoanza. Simba na Yanga zinapoteza hela nyingi sana kwa agents wa magharasa. Yaani hizi timu ni vichwa ngumu hazina academy za maana. Viongozi wa Simba na Yanga akili zao sawa, wote ni matope tu kichwani na wataendelea kupoteza fedha nyingi za wawekezaji mpaka itafika mwish zitaachwa.
Kuna timu itaanzishwa Tanzania, na itaanzia grassroots na hizi timu za Simba na Yanga zitabaki na magharasa yao tu.
Hizi Yanga na Simba zimekuwa kama Imani za kidini kavulata . Hasa hapa Tanzania .Mfano, kama Sure Boy angetakiwa na Simba angeruhusiwa kwenda Simba na kama Perfect Chikwendwe angetakiwa na Yanga angesajiliwa na Azam.
Azam imejaza viongozi na wachezaji wasiokuwa na moyo na Azam, wako Azam kwasababu ya hela tu ya tajiri wao tu.
Wachezaji na viongozi wanaihujumu timu kwa kuzilinda "timu zao" wanazopenda.
Rais Kikwete analifahamu hili pia na aliwaonya Azam kuepuka kushabikia timu nyingine nchini lakini walimpuuza.
Azam ina kila kitu lakini wachezaji hawajitumi. Hakuna mchezaji asiyependa kushangiliwa, Azam hakuna washangiliaji.
Mpaka hapo Azam itakapobadilisha mtazamo, haitafanya vizuri kwenye soka.