Timu ya Azam imekumbatia wachezaji na viongozi wanaopenda timu nyingine Tanzania, hawana moyo

Sure Boy hakuwa na thamani ile waliyoitaja Azam.
 
Hizi Yanga na Simba zimekuwa kama Imani za kidini kavulata . Hasa hapa Tanzania .

Na hoja yako imeziathiri sana timu karibu zote za ligi kuu. Na hili ni anguko la soka ya Tz
Uko sahihi, watu wanashindwa kushabikia timu zao za mikoa zikicheza na simba na yanga. Simba na Yanga hazina mechi za ugenini, kila mechi ni kama iko nyumbani, hii nitofauti na soka la nchi nyingine Afrika na hata dunia.
 
Hizi Yanga na Simba zimekuwa kama Imani za kidini kavulata . Hasa hapa Tanzania .

Na hoja yako imeziathiri sana timu karibu zote za ligi kuu. Na hili ni anguko la soka ya Tz
Imani hii iko wazi mno kwa Azam FC, waziwazi unaona viongozi wake hawapendi kuifunga Simba hasa pale Simba inapohitaji matokeo muhimu yatakayo ikera Yanga.
 
Imani hii iko wazi mno kwa Azam FC, waziwazi unaona viongozi wake hawapendi kuifunga Simba hasa pale Simba inapohitaji matokeo muhimu yatakayo ikera Yanga.
Hii iliiharibia Toto Africa , Pan African, Nyota nyekundu, Coastal Union, Pamba na hata Mtibwa sugar wanasumbuliwa na mapenzi haya.

Haya mapenzi ya Simba na Yanga , ni kama watoto wanaolishwa Imani kali za kipalestina dhidi ya Israel. Na hazitoki pamoja na kutokuwa na faida yoyote . Na Azam wamekwamia hapo.
 
Halafu inafungwa na Coastal Union ambayo wachezaji wake wanashindwa hata kunywa chai !
 
Hata kama wakifanya hivyo, hao wachezaji hodari wakikua watapelekwa Simba. Kwani mzee hukuona akina Bocco, Nyoni, Mess walivyokwenda kuiimarisha Simba na kuiacha Azam ikihanyahanya kwa kubalisha makocha na wachezaji?
Aishi manula pia
 
Ndiyo maana unaambiwa waache kuwaiga Yanga na Simba. Hawa wachezaji wanachukuliwa kwa sababu huwafungi kimkataba na pia hawaioni Azam kama timu yenye mashabiki.
Kwa mfano, kumchukua Feisal Yanga sasa hivi itabidi utoe hela nyingi sana. Ni kama vile wamemfunga kimkataba. Unamlea mchezaji na kumfunga kimkataba tangu utotoni.
Mo mwenyewe atachoka kununua magharasa muda si mrefu, we subiri tu.
 
Achana na wazungu ni wastaarabu.Sisi ni washenzi
 
Kiukweli wanayanga mko sahihi kulalamika kuvurunda kwa Azam wakati wana karibu kila kitu. Ni aibu Azam kufungwa na Coastal union wakati hao coastal wanafungwa na yanga klabu iliyotoka kutema wachezaji 20 na kusajili wapya, pia klabu isiyo na pa kufanyia mazoezi.Aibu Azam!

Ni aibu kwa Azam kufungwa na Yanga msimu huu huku mkitoa sare na simba. Unatuma ndege kwenda kumchukua mchezaji wako halafu unafungwa na yanga? Kwa kipi walichowazidi? Aibu Azam.

Wachezaji Azam jirekebisheni nyinyi ni wa kimataifa kama simba maana klabu ina kila kitu cha kuvutia wachezaji. Kumbukeni jinsi Carlinhos alivyosikitika siku alipopelekwa kufanya mazoezi Mwembe togwa primary school.

Sasa nyinyi Azam iweje msijitume muwe kama simba muwakilishe taifa. Azam na Simba ndio inatakiwa iwe top two kama Tp Mazembe na As vita. Hawa wengine wawe kama tu Motema pembe watupe tu changamoto.. Azam badilikeni.
 
Mkuu naona kama una point, hebu weka facts (uthibitisho) wa hoja zako.

Ahsante
 
Kosa kubwa walilolifanya Azam ni kuondoa management ya kina Saad Kawemba tena kwa majungu ya kike ya kina Abdul Mohamed.

Sasa hivi Azam ungekuwa level ya juu sana kuliko hizi timu za wachawi wa Kariakoo.
 
Walishalichukua 2014
 
Utopolo mna matatizo ya kichwa walahi, juzi tuu hapa azamu ametoa draw na Simba ingekuwa hivyo si wangefungwa na Simba tuuu?
 
Wachukulie poa tu hawa dada zetu wanapotema tema mate hovyo.

Wakitema sana tunawapatia ndimu ili wabaki wakisonya huku wamekunja sura.
Utopolo mna matatizo ya kichwa walahi, juzi tuu hapa azamu ametoa draw na Simba ingekuwa hivyo si wangefungwa na Simba tuuu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…