The Initiator huru
JF-Expert Member
- Dec 4, 2017
- 1,993
- 2,635
Ngoja akapambane uko ila kamati ya usajili ya simba mwaka huu nafkl ina makengeza, sasa unashindwaje kumbakiza kotei unaenda kucheza kamali kwa wachezaji usio wajuwa?
Passing rate ya Kotei ipo chini sana, katika pasi kumi atakazopiga zinazomfikia mtu ni 2 tu.Wameacha mchezaji mzuri Sana hawa viongozi wetu na kucheza kamari kwa wachezaji wasiojulikana
Kocha alishasema kotei hafiti kwenye mfumo wake unataka uongozi uanze kupingana na mwalimu???Ngoja akapambane uko ila kamati ya usajili ya simba mwaka huu nafkl ina makengeza, sasa unashindwaje kumbakiza kotei unaenda kucheza kamali kwa wachezaji usio wajuwa?
Wakati kotei anakuja ulikuwa unamjua mkuuWameacha mchezaji mzuri Sana hawa viongozi wetu na kucheza kamari kwa wachezaji wasiojulikana
Kotei alikuwa mzuri kwenye kukaba ila nilikuwa namuona ufanisi wake kwenye kupiga pasi ulikuwa mdogo sana. Na mchezaji katika ngazi hii kama haupo comfortable on the ball inakuwa shida sana.Kocha alishasema kotei hafiti kwenye mfumo wake unataka uongozi uanze kupingana na mwalimu???
Simba Kwa SASA ni timu kubwa Sana Kwa SASA, inafanya usajili kulingana na mahitaji ya maelekezo ya mwalimu, walikuwepo akina mutesa mafisango RIP, matola, samata, ochan, wote walishapita na kuondokaa,
I'm happy atealist amesaini club kubwa inayofanana na Simba Kwa SASA,
Sio unatoka Simba unasaini kwasu kwasu fc ni kama umeshushwa daraja toka ligi kuu Hadi ligi daraja la pili ngazi ya wilaya shenzyyyyyyy
Kotei goodbye thanks for everything
Yaani wewe usipowajua wachezaji basi Simba haiwajui, mbona unaleta vichekesho.Ngoja akapambane uko ila kamati ya usajili ya simba mwaka huu nafkl ina makengeza, sasa unashindwaje kumbakiza kotei unaenda kucheza kamali kwa wachezaji usio wajuwa?
Wakati kotei anakuja ulikuwa unamjua mkuu
Hili watalijutia baadaeWameacha mchezaji mzuri Sana hawa viongozi wetu na kucheza kamari kwa wachezaji wasiojulikana
Hili watalijutia baadae
Hii sio breaking news bhana.Klabu ya kaizer chiefs, imethibitisha kumnasa kiungo mkabaji, aliyekuwa akikipiga katika kikosi cha mabingwa wa Tanzania Simba sport club James Kotei . Kwa mujibu wa chiefs Kotei tayari amesaini kandarasi ya miaka 3 kukipiga na miamba hao wa south Africa
"
Kaizer Chiefs have signed James Agyekum Kotei on a three-year contract.
The 25 years old Kotei is from Ghana and joins Amakhosi from Simba Sport Club #amakhosi4life "
Kila la Kheri James Kotei katika majukumu yako mapya .
Ha ha ha mbongo bwana!!Passing rate ya Kotei ipo chini sana, katika pasi kumi atakazopiga zinazomfikia mtu ni 2 tu.
Hauko timamu wewe, kama unaweza ukalinganisha kaizer chiefs na Simba basi ndio mana Taifa Stars inacheza vile ilivyocheza juzi na kufungwaKocha alishasema kotei hafiti kwenye mfumo wake unataka uongozi uanze kupingana na mwalimu???
Simba Kwa SASA ni timu kubwa Sana Kwa SASA, inafanya usajili kulingana na mahitaji ya maelekezo ya mwalimu, walikuwepo akina mutesa mafisango RIP, matola, samata, ochan, wote walishapita na kuondokaa,
I'm happy atealist amesaini club kubwa inayofanana na Simba Kwa SASA,
Sio unatoka Simba unasaini kwasu kwasu fc ni kama umeshushwa daraja toka ligi kuu Hadi ligi daraja la pili ngazi ya wilaya shenzyyyyyyy
Kotei goodbye thanks for everything