Timu ya Kaizer Chiefs yamsajili Kotei

Timu ya Kaizer Chiefs yamsajili Kotei

The Initiator huru

JF-Expert Member
Joined
Dec 4, 2017
Posts
1,993
Reaction score
2,635
Klabu ya kaizer chiefs, imethibitisha kumnasa kiungo mkabaji, aliyekuwa akikipiga katika kikosi cha mabingwa wa Tanzania Simba sport club James Kotei . Kwa mujibu wa chiefs Kotei tayari amesaini kandarasi ya miaka 3 kukipiga na miamba hao wa south Africa
"
Kaizer Chiefs have signed James Agyekum Kotei on a three-year contract.

The 25 years old Kotei is from Ghana and joins Amakhosi from Simba Sport Club #amakhosi4life "
Kila la Kheri James Kotei katika majukumu yako mapya .
 
Ngoja akapambane uko ila kamati ya usajili ya simba mwaka huu nafkl ina makengeza, sasa unashindwaje kumbakiza kotei unaenda kucheza kamali kwa wachezaji usio wajuwa?
 
Wew ndio uwajui ila mbka wanawasajili wamewaona n kuwatambua acha ligi hianze ndio tutajua
Ngoja akapambane uko ila kamati ya usajili ya simba mwaka huu nafkl ina makengeza, sasa unashindwaje kumbakiza kotei unaenda kucheza kamali kwa wachezaji usio wajuwa?
 
Ngoja akapambane uko ila kamati ya usajili ya simba mwaka huu nafkl ina makengeza, sasa unashindwaje kumbakiza kotei unaenda kucheza kamali kwa wachezaji usio wajuwa?
Kocha alishasema kotei hafiti kwenye mfumo wake unataka uongozi uanze kupingana na mwalimu???

Simba Kwa SASA ni timu kubwa Sana Kwa SASA, inafanya usajili kulingana na mahitaji ya maelekezo ya mwalimu, walikuwepo akina mutesa mafisango RIP, matola, samata, ochan, wote walishapita na kuondokaa,

I'm happy atealist amesaini club kubwa inayofanana na Simba Kwa SASA,

Sio unatoka Simba unasaini kwasu kwasu fc ni kama umeshushwa daraja toka ligi kuu Hadi ligi daraja la pili ngazi ya wilaya shenzyyyyyyy

Kotei goodbye thanks for everything
 
Kotei alikuwa mzuri kwenye kukaba ila nilikuwa namuona ufanisi wake kwenye kupiga pasi ulikuwa mdogo sana. Na mchezaji katika ngazi hii kama haupo comfortable on the ball inakuwa shida sana.
 
Ngoja akapambane uko ila kamati ya usajili ya simba mwaka huu nafkl ina makengeza, sasa unashindwaje kumbakiza kotei unaenda kucheza kamali kwa wachezaji usio wajuwa?
Yaani wewe usipowajua wachezaji basi Simba haiwajui, mbona unaleta vichekesho.
 
Klabu ya kaizer chiefs, imethibitisha kumnasa kiungo mkabaji, aliyekuwa akikipiga katika kikosi cha mabingwa wa Tanzania Simba sport club James Kotei . Kwa mujibu wa chiefs Kotei tayari amesaini kandarasi ya miaka 3 kukipiga na miamba hao wa south Africa
"
Kaizer Chiefs have signed James Agyekum Kotei on a three-year contract.
The 25 years old Kotei is from Ghana and joins Amakhosi from Simba Sport Club #amakhosi4life "
Kila la Kheri James Kotei katika majukumu yako mapya .
Hii sio breaking news bhana.
Wabrazil ndiyo breaking news!
 
Kocha alishasema kotei hafiti kwenye mfumo wake unataka uongozi uanze kupingana na mwalimu???

Simba Kwa SASA ni timu kubwa Sana Kwa SASA, inafanya usajili kulingana na mahitaji ya maelekezo ya mwalimu, walikuwepo akina mutesa mafisango RIP, matola, samata, ochan, wote walishapita na kuondokaa,

I'm happy atealist amesaini club kubwa inayofanana na Simba Kwa SASA,

Sio unatoka Simba unasaini kwasu kwasu fc ni kama umeshushwa daraja toka ligi kuu Hadi ligi daraja la pili ngazi ya wilaya shenzyyyyyyy

Kotei goodbye thanks for everything
Hauko timamu wewe, kama unaweza ukalinganisha kaizer chiefs na Simba basi ndio mana Taifa Stars inacheza vile ilivyocheza juzi na kufungwa
 
Back
Top Bottom