Timu ya Mpira wa Kikapu ya Wabunge wa Tanzania yachapwa Vikapu 67 kwa 38 na Wabunge wa Kenya

Timu ya Mpira wa Kikapu ya Wabunge wa Tanzania yachapwa Vikapu 67 kwa 38 na Wabunge wa Kenya

Mtoa Taarifa

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2024
Posts
213
Reaction score
671
Timu ya Bunge ya Mpira wa Kikapu Wanaume imepoteza mchezo wake dhidi ya Timu ya Bunge la Kenya kwa kuruhusu kufungwa magoli 67-38.Timu hizo zipo Mombasa nchini Kenya kushiriki mashindano ya Mabunge ya Nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki.

Ikumbukwe hapo jana, Timu ya Bunge la Tanzania ya Mpira wa Wavu ya wanawake iliendeleza ubabe katika mashindano ya Mabunge ya Afrika Mashariki baada ya kuifunga timu Bunge la Uganda kwa Seti 3-2. Timu hizo zilikutana katika Michezo ya Mabunge ya Nchi za Jumuiya hiyo yanayoendelea Mombasa Kenya
1733938339150.png

1733938351350.png

1733938362993.png

1733938381545.png
 
Safi sana Wabunge wa Kenya piga hao wagonga meza wa ccm hadi waseme walifikaje huko bila kugongwa la lori
 
Ungeshusha squad ya vikosi vya timu hizo tujue wabunge wetu kuwa wana vipaji vya michezo
 
Hawa wanaweza wizi tu hata michezo hawajui? Namuona na naibu waziri wa michezo hapo
 
Back
Top Bottom