wakimataifa
JF-Expert Member
- Nov 16, 2014
- 942
- 168
Vyumba vyote katika ile ofisi vimejaa Moshi. .
Harufu mbaya ya MISHIKAKI, UKOKO wa pilau, na Harufu ya Vyakula vinavyotoka katika ule mgahawa wa Mhindi pale chini...
Vinafanya mazingira yao yasiwe Mazuri sana.
Kuna kipindi, walikuwa wanatumia lile jengo kusajili wachezaji, basi kila mchezaji aliye sajiliwa akiwa katika lile jengo baadaye aligundulika kuugua UGONJWA WA KIFUA KIKUU.
Dan Sserenkuma aliugua MACHO kutokana na tatizo la moshi, alafu wakawaongopea mikia kwamba Dan amepima na amekutwa na tatizo la kutoona mbali.

ahahahaa!!basi waje tuwakodishe jangwani
nashangaa timu ya simba inapomsajili mchezaji lazima wasaini kwa bwana mkubwa hans pope ofisini kwake badala ya ofisi ya klabu ya simba kama wanavyofanya timu ya Yanga usajili saini wanasaini klabuni mbele ya katibu wa yanga

Bahati mbaya hawajui kuogelea. Bora waendelee huko huko!
chupi zile za plumj na muro zilizosombwa na maji yale ya mvua ile kubwa ya mafuriko mmeshaziokota ktk mabonde yale ya mto msimbazi?
teh!tehh!utajijuuuu!!
nitajiju mimi au zitajiju chupi za mchikichini za kocha wenu plumj na msemaji wenu jenny!
Wote kwa ujumla yaani chupi,na aliyeziona zinaelea wote watajiju!
utafiti uliofanywa kuwa watu wengi wanaongoza kuwa na matatizo ya akili ni mashabiki na wapenzi wa yanga hakika haukukosewa.