wakimataifa
JF-Expert Member
- Nov 16, 2014
- 942
- 168
nashangaa timu ya simba inapomsajili mchezaji lazima wasaini kwa bwana mkubwa hans pope ofisini kwake badala ya ofisi ya klabu ya simba kama wanavyofanya timu ya Yanga usajili saini wanasaini klabuni mbele ya katibu wa yanga