Timu ya simba haina ofisi

Timu ya simba haina ofisi

wakimataifa

JF-Expert Member
Joined
Nov 16, 2014
Posts
942
Reaction score
168
nashangaa timu ya simba inapomsajili mchezaji lazima wasaini kwa bwana mkubwa hans pope ofisini kwake badala ya ofisi ya klabu ya simba kama wanavyofanya timu ya Yanga usajili saini wanasaini klabuni mbele ya katibu wa yanga
 
Vyumba vyote katika ile ofisi vimejaa Moshi. .

Harufu mbaya ya MISHIKAKI, UKOKO wa pilau, na Harufu ya Vyakula vinavyotoka katika ule mgahawa wa Mhindi pale chini...
Vinafanya mazingira yao yasiwe Mazuri sana.

Kuna kipindi, walikuwa wanatumia lile jengo kusajili wachezaji, basi kila mchezaji aliye sajiliwa akiwa katika lile jengo baadaye aligundulika kuugua UGONJWA WA KIFUA KIKUU.

Dan Sserenkuma aliugua MACHO kutokana na tatizo la moshi, alafu wakawaongopea mikia kwamba Dan amepima na amekutwa na tatizo la kutoona mbali.
 
ahahahaa!!basi waje tuwakodishe jangwani
 
Hakuna vyoo pale.
 
Labda waende shambani Bunju na majembe kabisa.
 
nashangaa timu ya simba inapomsajili mchezaji lazima wasaini kwa bwana mkubwa hans pope ofisini kwake badala ya ofisi ya klabu ya simba kama wanavyofanya timu ya Yanga usajili saini wanasaini klabuni mbele ya katibu wa yanga

mbona na wewe siku nyingine demu wako unambandulia sakafuni au bafuni au ktk makochi na ikibidi hata ktk pori lenye nyasi? muhimu mtalimbo ufanye kazi yake barabara hivyo simba kutumia ofisi ya kapteni wa zamani wa jwtz hanspoppe hakuna tatizo ili mradi tu lile lengo kuu limetimia ambalo ni kutusajilia wachezaji. tofauti ya peter mwalyanzi na xavi hernabdez ni rangi tu na jiografia ila mziki wao una fanana na sipati picha dimba la juu akisimama cha pombe mkude huku dimba la chini akizunguka mwalyanzi huku mbele kukiwa na udambwidambwi wa akina okwi, messi na wengineo. kwa midfiled hii ya simba hakika mashabiki tutakuwa tunatapika mno uwanjani huku tukishuhudi mipira tukiwa tunakunywa wine na bisi meno yote 32 yakiwa nje
 
nashangaa timu ya simba inapomsajili mchezaji lazima wasaini kwa bwana mkubwa hans pope ofisini kwake badala ya ofisi ya klabu ya simba kama wanavyofanya timu ya Yanga usajili saini wanasaini klabuni mbele ya katibu wa yanga

Ndo mana kiongoz wao aliwaita mbumbumbu
 
Vyumba vyote katika ile ofisi vimejaa Moshi. .

Harufu mbaya ya MISHIKAKI, UKOKO wa pilau, na Harufu ya Vyakula vinavyotoka katika ule mgahawa wa Mhindi pale chini...
Vinafanya mazingira yao yasiwe Mazuri sana.

Kuna kipindi, walikuwa wanatumia lile jengo kusajili wachezaji, basi kila mchezaji aliye sajiliwa akiwa katika lile jengo baadaye aligundulika kuugua UGONJWA WA KIFUA KIKUU.

Dan Sserenkuma aliugua MACHO kutokana na tatizo la moshi, alafu wakawaongopea mikia kwamba Dan amepima na amekutwa na tatizo la kutoona mbali.

Nikikuunga mkono watasema nimenunuliwa...ngoja nijikalie kimya mie
 
nitajiju mimi au zitajiju chupi za mchikichini za kocha wenu plumj na msemaji wenu jenny!

Ama kweli ulichanganyikiwa.

Wakati wa Mafuriko pale Jangwani wenzako walikuwa wakitazama kwenye Maji wanaona MAKOMBE na MEDALI zinaelea juu ya maji, ila wewe pekee ulikuwa umechanganyikiwa kiasi kwamba ulikuwa unaona Chupi zinaelea...!

Ndugu yangu nakushauri Usipende kujihusisha na masuala ya UCHAWI... ni bora uachane nayo kabisa.....!

Hali yako inahitaji Daktari bingwa.
 
Back
Top Bottom