Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
Jana kulipigwa mechi ya DR Congo dhidi ya Benin ya kufuzu kwa michuano ya kombe la dunia kwa bara la Africa.
Jana DR Congo wamefanya sub mara nne badala ya tatu kisheria hivyo wapo katika balaa la kuchukuliwa hatua, endapo itathibitika kuwa walifanya kosa hilo, Benin anaweza akafuzu kwa point za mezani.
Soka la Afrika halipo sawa, kuna shida kubwa sana kwanzia uwanjani mpakani kwenye uongozi, yaani kila kitu sisi ni magumashi😂