Mwanamaji
JF-Expert Member
- Apr 20, 2013
- 2,905
- 4,518
Mimi ninachotaka kujua ni je, adhabu ya hilo kosa ni timu husika kupoteza ushindi ?Serbia walifanya sub nne. Dakika 46, 65, 69, na 89 kama ni sheria ndio inatakiwa ziwe awamu tatu tu basi ni timu nyingi zitawajibishwa ulaya ukiachana na Congo