Timu ya Taifa ya DR Congo yafanya sub mara nne jana kinyume na utaratibu

Greatest Of All Time

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2017
Posts
23,620
Reaction score
52,790
Jana kulipigwa mechi ya DR Congo dhidi ya Benin ya kufuzu kwa michuano ya kombe la dunia kwa bara la Africa.

Jana DR Congo wamefanya sub mara nne badala ya tatu kisheria hivyo wapo katika balaa la kuchukuliwa hatua, endapo itathibitika kuwa walifanya kosa hilo, Benin anaweza akafuzu kwa point za mezani.

Soka la Afrika halipo sawa, kuna shida kubwa sana kwanzia uwanjani mpakani kwenye uongozi, yaani kila kitu sisi ni magumashi😂

 
Kwenye Mechi ya Portugal vs Serbia pia angalia tukio kama la Congo limejitokeza. Serbia wamefanya sub zilizozidi awamu tatu
 
Hilo kosa ni la Camisaa wa mchezo sio kosa la timu wakati Congo DR wanafanya hizo substitution alikuwa wapi??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…