Mimi ninachotaka kujua ni je, adhabu ya hilo kosa ni timu husika kupoteza ushindi ?Serbia walifanya sub nne. Dakika 46, 65, 69, na 89 kama ni sheria ndio inatakiwa ziwe awamu tatu tu basi ni timu nyingi zitawajibishwa ulaya ukiachana na Congo
Mimi mkuu sijui kuhusu hilo, lakini sheria za kufuzu kombe la dunia inasimamiwa na FIFA, kama sheria ya kufanya sub mwisho ni awamu tatu tu, basi ni timu nyingi zitaadhibiwa za ulaya.Mimi ninachotaka kujua ni je, adhabu ya hilo kosa ni timu husika kupoteza ushindi ?
Unaweza kukuta adhabu yake ni "onyo kali" basi.Mimi mkuu sijui kuhusu hilo, lakini sheria za kufuzu kombe la dunia inasimamiwa na FIFA, kama sheria ya kufanya sub mwisho ni awamu tu, basi ni timu nyingi zitaadhibiwa za ulaya. Je na nchi za ulaya nazo hazina umakini wa kufuata utaratibu? Au hiyo sheria ya sub kwa awamu tatu tu tunazijua sisi Waafrica tu? Nimecheki mechi za jana mbili nimegundua kuwa ni kitu kisichozingatiwa ulaya. Timu nyingi zimefanya sub zaidi ya awamu tatu
Mkuu pengine labda kuna mabadilikoMimi mkuu sijui kuhusu hilo, lakini sheria za kufuzu kombe la dunia inasimamiwa na FIFA, kama sheria ya kufanya sub mwisho ni awamu tu, basi ni timu nyingi zitaadhibiwa za ulaya. Je na nchi za ulaya nazo hazina umakini wa kufuata utaratibu? Au hiyo sheria ya sub kwa awamu tatu tu tunazijua sisi Waafrica tu? Nimecheki mechi za jana mbili nimegundua kuwa ni kitu kisichozingatiwa ulaya. Timu nyingi zimefanya sub zaidi ya awamu tatu
Angalia upande wa kulia kwako Serbia wamefanya sub nne
Hapa walitoka watu Wawili ndani ya dakika ya 80 hiyo Ni Mara tatu jamaaSijajua kama ni kweli ipo hivyo, angalia jana mechi ya Greece vs Kosovo. Kosovo nao walifanya sub kwa vipindi vinne kama walivyofanya D.R.C Congo ina maana nao ni wajinga kama Waafrica?View attachment 2011950
Angalia hapo means walitoka wawil kwa wakat mmoja na kuingia wawil kwa wakat mmojaKwenye Mechi ya Portugal vs Serbia pia angalia tukio kama la Congo limejitokeza. Serbia wamefanya sub zilizozidi awamu tatuView attachment 2011961
Baada ya kufatilia mechi zaidi ya 30 kuona dakika za sub na idadi ya sub nimegundua yafuatayo.Sub moja ya Serbia ilifanyika ile time timu zimetoka mapumziko kama nakumbuka sahihi...mchezo haukusimama kupisha sub
Sikuwa naongea hiyo ya kushoto bali ya sub ya upande wa kulia ambapo kuna dakika 46, 65, 69 na 89Angalia hapo means walitoka wawil kwa wakat mmoja na kuingia wawil kwa wakat mmoja
Mkuu kwenye hii sheria timu inaruhusiwa kufanya Sub mpaka tano ila kwa awamu zisizozidi tatu.Sijui ni kichwa kigumu au vipi? Mimi bado sijaelewa hii sheria wakuu. Kwa yeyote mwenye ufahamu na uwelewa naomba anieleweshe kwa lugha nyepesi
Serbia wamefuzu na walifanya sub 4Hapo kwa Ureno wamefanya sub mbili kwa muda mmoja hyo sub ya dk ya 64
Hamna cha kunuka hapo ,sheria na kanuni zimeshabadilika,unaweza fanya sub ya wachezaji hadi watano ila kwa mikupuo mitatu.Jana kulipigwa mechi ya DR Congo dhidi ya Benin ya kufuzu kwa michuano ya kombe la dunia kwa bara la Africa.
Jana DR Congo wamefanya sub mara nne badala ya tatu kisheria hivyo wapo katika balaa la kuchukuliwa hatua, endapo itathibitika kuwa walifanya kosa hilo, Benin anaweza akafuzu kwa point za mezani.
Soka la Afrika halipo sawa, kuna shida kubwa sana kwanzia uwanjani mpakani kwenye uongozi, yaani kila kitu sisi ni magumashi[emoji23]
View attachment 2011799
Angalia Serbia wamefanya sub dk 63 watu wawili kwa mpigo ,dk 73 mtu mmoja na dk 83 mtu mmoja. Hapo hawajavunja Sheria ,Sheria inasema sub 5 lakini unafanya mbili au zaidi kwa mpigo but siyo kwa mda tofauti ,Congo wamefanya kwa mda tofautiSerbia wamefuzu na walifanya sub 4
Hatujasikia Ureno wamekata rufaa