Timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) yatia aibu Côte d'Ivoire

UMUGHAKA

JF-Expert Member
Joined
Sep 1, 2021
Posts
2,753
Reaction score
12,932
Nsikuchoshe na Usinchoshe,tusichoshane!

Karibia mataifa yote yanayojitambua (Mataifa ya watu weusi) yameenda au kuwasili Ivory Coast kwa kuwa na aina yake ya mavazi (Attire).

Tanzania tangia tumeenza mchakato wa kupata Vazi la Taifa lililoratibiwa na serikali ya wendawazimu (ccm) hadi leo hatuelewi ni kitu gani kimelikumba jambo hilo!

Wakati nchi nyingine zinazojitambua zinapowakilisha mavazi rasmi ya mataifa yao,kiukweli kumekuwa na mvuto wa aina yake na kuwa kivutio!

Ni Tanzania pekee taifa la wendawazimu ndilo linalotia aibu huko kutokana na kuvaa Vinjunga kama avaavyo jamaa moja jinga kutokea huko Butiama!

Kiukweli mimi naombea Taifa Stars timu ya Samia na machawa wake ipokeee kipigo cha mbwa koko huko Côte d'Ivore kiasi kwamba hadi ichanganyikiwe!

Nitakuwa mwenye furaha mno kuona timu ya Taifa la Tanzania ikipokea vipigo Heavy!
 
Ujinga ni kuamini kila upuuzi unaoandikwa bila ushahidi wowote.

Mkuu, hata mimi siipendi CCM ingawa nimo humo ndani lakini hata siku moja siwezi kusimama hadharani kama wewe nakuongea uongo nikitaka watu waniamini.

Hizo nguo walizovaa zipo wapi? kama wewe umeziona kwa nini usiweke picha hapa?

Sisi siyo wajinga ama wapuuzi kwa kukurupukia kila jambo ambalo hatters wasio na dira wanalolisambaza.

Come clean, weka ushuhuda hapa na siyo blah blah za kitoto
 
Hapo vp?si walibamba??🤣🤣
 

Attachments

  • Screenshot_20240111-205831_1.jpg
    63.5 KB · Views: 3
Acheni roho mbaya na uchawi.

Kila laheri Taifa Stars
 
Ataonekana nimjinga lakini kwa jicho la tatu kuna kitu huko mbeleni, asipuuzwe
 
We jamaa mbona una ghadhabu na taifa stars imekukosea nini?
 
Mbona wapo vizuri tu .. 🙄
 

Attachments

  • FB_IMG_17049971951778497.jpg
    33.3 KB · Views: 2
  • FB_IMG_17049972163187305.jpg
    42.8 KB · Views: 3
  • FB_IMG_17049972278621701.jpg
    29.5 KB · Views: 1
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…