Chukwu emeka
JF-Expert Member
- Jan 12, 2018
- 24,314
- 38,919
Naona mleta Uzi kuna kitu kizuri ametukumbusha japo ameshindwa kukiweka vizuri,wanaomshambulia mnamkosea
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Heshima ya Nyooooooooko!Heshimu serikali na viongozi wake.
Heshimu maamuzi ya timu husika na taratibu zake
Heshimu Rais (kiongozi wa Nchi)
siyo kumtaja jina kama mwanao.
Heshimu uhuru na mitindo ya maisha ya watu na vikundi (taasisi) vingine.
Heshimu mashindano yeyote yenye kuipa taswira nzuri nchi yetu hata kama kinafiki
Kuwa mzalendo kwa nchi yako hata kwenye mapungufu kosoa kistaarabu siyo kuombea mabaya.
Jiheshimu mwenyewe,
Utaheshimiwa, utaheshimika na utakuwa huru zaidi kuliko kuupa moyo streets zisizo za lazima.
Alamsiki.
NAUNGA MKONO HOJANsikuchoshe na Usinchoshe,tusichoshane!
Karibia mataifa yote yanayojitambua (Mataifa ya watu weusi) yameenda au kuwasili Ivory Coast kwa kuwa na aina yake ya mavazi (Attire).
Tanzania tangia tumeenza mchakato wa kupata Vazi la Taifa lililoratibiwa na serikali ya wendawazimu (ccm) hadi leo hatuelewi ni kitu gani kimelikumba jambo hilo!
Wakati nchi nyingine zinazojitambua zinapowakilisha mavazi rasmi ya mataifa yao,kiukweli kumekuwa na mvuto wa aina yake na kuwa kivutio!
Ni Tanzania pekee taifa la wendawazimu ndilo linalotia aibu huko kutokana na kuvaa Vinjunga kama avaavyo jamaa moja jinga kutokea huko Butiama!
Kiukweli mimi naombea Taifa Stars timu ya Samia na machawa wake ipokeee kipigo cha mbwa koko huko Côte d'Ivore kiasi kwamba hadi ichanganyikiwe!
Nitakuwa mwenye furaha mno kuona timu ya Taifa la Tanzania ikipokea vipigo Heavy!
Wengine nyinyi uraia wenu ni kuongea kiswahili tu, lakini tukisema tuchunguzane itakua haibu, maana wanyarwanda, warundi na wakongo mumejazana sana Tanzania.Watu huko wanavaa vinjunga kama Gentamycine unategemea nini, naombea tufungwe tusifike hatua yoyote ya maana.
Mimi na wewe nani wa kutiliwa mashaka uraia wake? Hata kuandika neno AIBU umeshindwa umeandika HAIBU. Uzalendo ni pamoja na kusema kweli sio unafki unaofanya wewe kunguru mweusi.Wengine nyinyi uraia wenu ni kuongea kiswahili tu, lakini tukisema tuchunguzane itakua haibu, maana wanyarwanda, warundi na wakongo mumejazana sana Tanzania.
Sasa alichokosea jamaa ni kipi hapo?Kweli mchawi wako ni mtu wa karibu yako.
AmiiinWatu huko wanavaa vinjunga kama Gentamycine unategemea nini, naombea tufungwe tusifike hatua yoyote ya maana.