Timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) yatia aibu Côte d'Ivoire

NDEGE ILIYOBEBA TIMU YA TAIFA YA GAMBIA ALMANUSURA IWAUWE WACHEZAJI

Kocha wa Gambia wa Ubelgiji Tom Saintfiet, ambaye alikuwa ndani ya ndege hiyo Bombadier , aliambia shirika la utangazaji la Ubelgiji VRT kwamba timu hiyo imeponea chupuchupu kifo. "Sote tuliugua sumu ya kaboni monoksidi. Baadhi ya wachezaji pia hawakuzinduka mara baada ya kutua," alisema.
 
Naona mleta Uzi kuna kitu kizuri ametukumbusha japo ameshindwa kukiweka vizuri,wanaomshambulia mnamkosea

Mkuu wewe una akili kubwa mno!,Nadhani unapaswa kupewa kitengo pale magogoni!
 
Heshimu serikali na viongozi wake.

Heshimu maamuzi ya timu husika na taratibu zake

Heshimu Rais (kiongozi wa Nchi)
siyo kumtaja jina kama mwanao.

Heshimu uhuru na mitindo ya maisha ya watu na vikundi (taasisi) vingine.

Heshimu mashindano yeyote yenye kuipa taswira nzuri nchi yetu hata kama kinafiki

Kuwa mzalendo kwa nchi yako hata kwenye mapungufu kosoa kistaarabu siyo kuombea mabaya.

Jiheshimu mwenyewe,
Utaheshimiwa, utaheshimika na utakuwa huru zaidi kuliko kuupa moyo streets zisizo za lazima.

Alamsiki.
 
Heshima ya Nyooooooooko!
 
Kwahiyo suala la vazi la Taifa nalao ni haibu?
Inchi inawatu wenye uwezo mdogo sana wa kufikiri.

Nb. Kwani tumeenda kwenye maonyesho ya mavazi?
 
NAUNGA MKONO HOJA
 
Watu huko wanavaa vinjunga kama Gentamycine unategemea nini, naombea tufungwe tusifike hatua yoyote ya maana.
Wengine nyinyi uraia wenu ni kuongea kiswahili tu, lakini tukisema tuchunguzane itakua haibu, maana wanyarwanda, warundi na wakongo mumejazana sana Tanzania.
 
Kwanza beki Kajili aongezwe.
Halafu wangevaa lubega kimasai ndo vazi la taifa.
Ova
 
KITU NIMECHUKIA NI KUJAZA MACHAWA, MPAKA MZUKA WA KUCHEK MASHINDANO UMEKATA.
 
Wengine nyinyi uraia wenu ni kuongea kiswahili tu, lakini tukisema tuchunguzane itakua haibu, maana wanyarwanda, warundi na wakongo mumejazana sana Tanzania.
Mimi na wewe nani wa kutiliwa mashaka uraia wake? Hata kuandika neno AIBU umeshindwa umeandika HAIBU. Uzalendo ni pamoja na kusema kweli sio unafki unaofanya wewe kunguru mweusi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…