Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 49,759
- 118,798
Oooh!! Sawa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Oooh!! Sawa.
Tuki-invest hawa mabinti watatuwakilisha vyema sana kimataifa shida tupo kwa wale vijeba kwa sababu ya mazoea tu...
D.Minja pekee anauwezo mkubwa wa kufanya maamuzi kuliko strikers wa stars
Mwanahamisi Gaucho,unamwachaje
Leo kapuyanga sana
Na hii ni mala ya pili
Wanacheza na wasiojua,wangeshinda hizo goli kwa timu kama Cameroon, Nigeria, Zambia ,Senegal ningekubali.
tunawafunga wabovu wenzetu sema kwa afrika mashariki hakuna atakaetufunga ila bado hatuna timu bora ukitaka kujua tuna timu ya kawaida kafatilie ile game ya USA NA FRANCE world cup ya wanawake alafu anagalia game za tanzania
Nashauri iwakilishe Taifa badala ya Taifa starsKatika michuano inayoendelea sasa hivi ya CECAFA SENIOR WOMEN CHAMPIONSHIP, Kilimanjaro Queen's imekuwa na muunganiko mzuri. Ukiwa unaiangalia timu hii unaona ule muunganiko mzuri.
Pia unaona usahihi wa pasi ambapo mara nyingi timu zetu zimekuwa zinapata shida.
Kuanzia golini mpaka bench la ufundi unaona muunganiko huo.
Mpaka sasa wachezaji waliotia fora ni Donisia, Double Aisha,Amina na kule nyuma ni balaaa. Mwalimu na benchi zima la ufundi wanastahili pongezi.
Pia timu nzima imekuwa ni nzuri sana. Mungu awasaidie wabakishe kombe nyumbani.
Mungu ibariki The Kilimanjaro Queens. Mungu ibariki Tanzania
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Hata hao Banyana Banyana, Nigeria na Ghana wakajipange kwa timu hii ya sasa. Usiichukulie poa.hawa dawa yao ni kuwapambanisha na BANYANA BANYANA ya south africa ama wanawake wa NIGERIA na GHANA uone wanavyohemea matakoni[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Ashazeeka huyoEster chabruma 'lunyamila' Yuko kwenye kikosi??
Huko umeenda mbali, jiulize tu kama hata Taifa stars inaziweza hizo timu ulizotaja!tunawafunga wabovu wenzetu sema kwa afrika mashariki hakuna atakaetufunga ila bado hatuna timu bora ukitaka kujua tuna timu ya kawaida kafatilie ile game ya USA NA FRANCE world cup ya wanawake alafu anagalia game za tanzania
Lakini wanacheza mpira mzuri ambao hata Taifa Stars haichezi. Bado nasema kwa sasa hata Cameroon na Nigeria wajipange.Wazuri CECAFA tu wakikutana na magiant Cameroon na Nigeria watapigwa wiki
Mademu wa Nigeria na Cameroon wanacheza Ulaya hatari manLakini wanacheza mpira mzuri ambao hata Taifa Stars haichezi. Bado nasema kwa sasa hata Cameroon na Nigeria wajipange.
Azam TvWakuu,hii michuano mnaiangalizia wapi?
Leo iko zbc2Wakuu,hii michuano mnaiangalizia wapi?
leo sangapi na uganda?Leo iko zbc2