City Of Lies
Platinum Member
- Sep 8, 2011
- 6,073
- 7,997
Itakuwa balaaHapo ndo mechi ya Simba na yanga refa atoe kona izae goli! Mpira unaisha hapo hapo.
Itakuwa mwarobaini wa hujuma zao.Mnaenda kupigana na waarabu
Sawa sawa.Ni nzuri, ila pia waende mbali hadi kwenye kurusha mipira, akichelewa kurusha wapewe timu pinzani.