Boutafrica
JF-Expert Member
- Dec 11, 2014
- 1,334
- 2,938
Quality ya Al Ahly haiwezi kufanana na Es Tunis, wale Es Tunis ni wabovu mno aiseeSimba ndiyo kama mlivyosikia.
Kama okello, depu wameshindwa kuisadia yanga juzi ulitegemea chama aivushe simba?
Timu zipi? Kwa Tanzania timu za club bingwa zisizo na point ni ngapi kwani😂Aisee hizi timu ni hatari
Muoneshe na msimamo kabisaTimu zipi? Kwa Tanzania timu za club bingwa zisizo na point ni ngapi kwani[emoji23]
Hao tayarikineshawalambaJapo mpira una dunda me ndo nataka nione huo mpira unavyodunda kwenye makundi kwamba mnyama aende Robo kama kawaida yake.