Timu yenu iliyowapa ushujaa imeshuka daraja

Timu yenu iliyowapa ushujaa imeshuka daraja

Cashman

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2018
Posts
3,017
Reaction score
5,294
Mpira wa miguu wakati fulani unategemea bahati sana.Sajili vizuri,jiweke vizuri kisha subiri bahati inaweza kukubeba.

Haya mashujaa mliowatoa timu dhaifu kuliko zote Afrika kusini,njooni hapa mtukane kuondoa uchungu mioyoni mwenu maana mmejaa sifa na hampendi habari kama hizi.

Nilikuwa najiuliza kwa nini ijapo mpo fainali hamna furah!?Kumbe njia mliyopita mkiwaza tu mnaona aibu mnabaki kuisema Simba ili mpate furaha.

Hata hivyo Simba iliwasokota bao mbili msijisahaulishe hili pia
 
Kila nikitaka kuisifu Yanga kuwa Ni timu Bora Africa huwa naishiwa nguvu. Ona Sasa timu iliyowasumbua na kuwakosa kosa mabao nusu fainali malumo Sasa imechapwa mbili bila na kushuka daraja South Afrika. Huku timu inayoongoza ligi hiyo hiyo kwa point karibu karibu 16 juu ya mshindi wa pili. Kifupi timu isiyoshikiks south Africa Mamelod ikitolewa klabu bingwa kwa muda wa kawaida na wydad timu Ambayo aliwatoa kwa matuta baada ya kunusurika kipigo Cha mbwa mwizi kwa mkapa*

Tunapoenda kusifu au kulinda Simba au Yanga kimataifa tuwe tunaangalia na njia walizopitia.

Kumbuka timu iliyowaondosha Yanga klabu bingwa ilichabangwa na mabingwa Hawa wa south afrika kwenye group stage na kutovuka makundi.
 
Attachments

  • Screenshot_20230520-185329.png
    Screenshot_20230520-185329.png
    70.8 KB · Views: 2
  • Screenshot_20230520-184456.png
    Screenshot_20230520-184456.png
    60.7 KB · Views: 2
Wote mmeongozana vichwa maji wa mchezo wa mpira wa miguu
Hao wa Marumo mpaka wamefika hapo kwenye nusu fainali, kwani walicheza na timu zinazoshuka daraja wenzie? Mbona hushangai Kabylie alifika robo fainali klabu bingwa na huku wakiwa nafasi za chini kabisa kwenye msimamo wa ligi ya Algeria.

Hao Marumo mpaka wanafika hatua hiyo wamemtoa Pyramids timu ya tatu kwa ubora ligi ya Misri. Pia hao Pyramids imecheza fainali kombe la Egypt FA msimu huu na kutoa sare na Al Ahly ndani ya dakika 90. Hivyo Pyramids ni moja ya timu bora kabisa Misri.

Ligi za ndani haiwezi kuhukumu ubora au ubovu wa timu kwasababu kila ligi ina kiwango chake cha ubora tofauti na ligi ya nchi nyingine. Timu inaweza kushuka daraja nhi fulani lakini ikaenda nchi nyingine ikabeba ubingwa.

Marumo katika kundi lake alikuwa pamoja na huyu anayecheza fainali na Yanga, na walikula goli mbili pale South Africa. Na ndio timu pekee ambayo kwenye uwanja wao wa nyumbani kwenye kombe la shirikisho hawakuwai kufungwa.

Pendeni mpira kuliko kupnda timu, hayo madhara yake
 
Ligi za ndani haiwezi kuhukumu ubira au ubovu wa timu kwasababu kila ligi ina kiwango chake cha ubora tofauti na ligi ya nchi nyingine. Timu inaweza kushuka daraja nhi fulani lakini ikaenda nchi nyingine ikabeba ubingwa.
Haiwezekani mzee, labda kama unazungumzia Everton aje kucheza NBC.

Kiwango walichokionesha Marumo msimu uliopita ndio kilichompa nafasi ya kuingia huko!

Kiwango chake msimu huu ni KUSHUKA daraja, Yanga amepitia njia ya mteremko, full stop.

Timu zilizo kwenye ubora wake, Yanga alishindwa mapema, si ndio? Akaangukia huku sasa!

Timu zote hazikuwa kwenye ubora wao tofauti ya Yanga!
 
Nawasubiri utopolo wengine mje kuondoa stress hapa maana hamna furaha kabisa.

Nimezoea kuona status za mademu wenu wakipist sana hata wiki mbili kwa ushindi dhidi ya Singida big stars lakini kwa hili wamepooa!

Mlipigwa 2 kavu msijizime data lakini!
 
Acheni ushamba, ni juzi tu tumemfunga Ruvu aliyeshuka daraja tumeshangilia wiki mzima
Ha ha haa!
Ruvu huyu au wa Afrika kusini?

Maana ungekuwa unajua takwimu za mechi na Ruvu usingeandika ulichoandika!
Wakati mwingine uwe unamuuliza mumeo ukitaka kuzungumzia mpira
 
Wote mmeongozana vichwa maji wa mchezo wa mpira wa miguu
Hao wa Marumo mpaka wamefika hapo kwenye nusu fainali walicheza na timu zina,oshuka daraja wenzie? Mbona hushangai Kabylie alifika robo fainali klabu bingwa na huku wakiwa nafasi za chini kabisa kwenye msimamo wa ligi ya Algeria.

Hao Marumo mpaka wanafika hatua hiyo wamemtoa Pyramids timu ya tatu kwa ubora ligi ya Misri. Pia hao Pyramids imecheza fainali kombe la Egypt FA msimu huu na kutoa sare na Al Ahly ndani ya dakika 90. Hivyo Pyramids ni moja ya timu bora kabisa Misri.

Ligi za ndani haiwezi kuhukumu ubira au ubovu wa timu kwasababu kila ligi ina kiwango chake cha ubora tofauti na ligi ya nchi nyingine. Timu inaweza kushuka daraja nhi fulani lakini ikaenda nchi nyingine ikabeba ubingwa.

Marumo katika kundi lake alikuwa pamoja na huyu anayecheza fainali na Yanga, na walikula goli mbili pale South Africa. Na ndio timu pekee ambayo kwenye uwanja wao wa nyumbani kwenye kombe la shirikisho hawakuwa kufungwa.

Pendeni mpira kuliko kupnda timu, hayo madhara yake
Tatizo roho zina wauma na kupwita
 
Kila nikitaka kuisifu Yanga kuwa Ni timu Bora Africa huwa naishiwa nguvu. Ona Sasa timu iliyowasumbua na kuwakosa kosa mabao nusu fainali malumo Sasa imechapwa mbili bila na kushuka daraja South Afrika. Huku timu inayoongoza ligi hiyo hiyo kwa point karibu karibu 16 juu ya mshindi wa pili. Kifupi timu isiyoshikiks south Africa Mamelod ikitolewa klabu bingwa kwa muda wa kawaida na wydad timu Ambayo aliwatoa kwa matuta baada ya kunusurika kipigo Cha mbwa mwizi kwa mkapa*

Tunapoenda kusifu au kulinda Simba au Yanga kimataifa tuwe tunaangalia na njia walizopitia.

Kumbuka timu iliyowaondosha Yanga klabu bingwa ilichabangwa na mabingwa Hawa wa south afrika kwenye group stage na kutovuka makundi.
Makolokolo akiteseka hivi huwa nakuwa mbinguni kwa kula bata kabisaaa [emoji16]

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom