Wote mmeongozana vichwa maji wa mchezo wa mpira wa miguu
Hao wa Marumo mpaka wamefika hapo kwenye nusu fainali walicheza na timu zina,oshuka daraja wenzie? Mbona hushangai Kabylie alifika robo fainali klabu bingwa na huku wakiwa nafasi za chini kabisa kwenye msimamo wa ligi ya Algeria.
Hao Marumo mpaka wanafika hatua hiyo wamemtoa Pyramids timu ya tatu kwa ubora ligi ya Misri. Pia hao Pyramids imecheza fainali kombe la Egypt FA msimu huu na kutoa sare na Al Ahly ndani ya dakika 90. Hivyo Pyramids ni moja ya timu bora kabisa Misri.
Ligi za ndani haiwezi kuhukumu ubira au ubovu wa timu kwasababu kila ligi ina kiwango chake cha ubora tofauti na ligi ya nchi nyingine. Timu inaweza kushuka daraja nhi fulani lakini ikaenda nchi nyingine ikabeba ubingwa.
Marumo katika kundi lake alikuwa pamoja na huyu anayecheza fainali na Yanga, na walikula goli mbili pale South Africa. Na ndio timu pekee ambayo kwenye uwanja wao wa nyumbani kwenye kombe la shirikisho hawakuwa kufungwa.
Pendeni mpira kuliko kupnda timu, hayo madhara yake