Timu yenu iliyowapa ushujaa imeshuka daraja

Timu yenu iliyowapa ushujaa imeshuka daraja

Wote mmeongozana vichwa maji wa mchezo wa mpira wa miguu
Hao wa Marumo mpaka wamefika hapo kwenye nusu fainali walicheza na timu zina,oshuka daraja wenzie? Mbona hushangai Kabylie alifika robo fainali klabu bingwa na huku wakiwa nafasi za chini kabisa kwenye msimamo wa ligi ya Algeria.

Hao Marumo mpaka wanafika hatua hiyo wamemtoa Pyramids timu ya tatu kwa ubora ligi ya Misri. Pia hao Pyramids imecheza fainali kombe la Egypt FA msimu huu na kutoa sare na Al Ahly ndani ya dakika 90. Hivyo Pyramids ni moja ya timu bora kabisa Misri.

Ligi za ndani haiwezi kuhukumu ubira au ubovu wa timu kwasababu kila ligi ina kiwango chake cha ubora tofauti na ligi ya nchi nyingine. Timu inaweza kushuka daraja nhi fulani lakini ikaenda nchi nyingine ikabeba ubingwa.

Marumo katika kundi lake alikuwa pamoja na huyu anayecheza fainali na Yanga, na walikula goli mbili pale South Africa. Na ndio timu pekee ambayo kwenye uwanja wao wa nyumbani kwenye kombe la shirikisho hawakuwa kufungwa.

Pendeni mpira kuliko kupnda timu, hayo madhara yake
Unajielezeaa sana kaka..kifupi tu ile timu kweli imeshuka daraja..
 
Mpira wa miguu wakati fulani unategemea bahati sana.Sajili vizuri,jiweke vizuri kisha subiri bahati inaweza kukubeba.

Haya mashujaa mliowatoa timu dhaifu kuliko zote Afrika kusini,njooni hapa mtukane kuondoa uchungu mioyoni mwenu maana mmejaa sifa na hampendi habari kama hizi.

Nilikuwa najiuliza kwa nini ijapo mpo fainali hamna furah!?Kumbe njia mliyopita mkiwaza tu mnaona aibu mnabaki kuisema Simba ili mpate furaha.

Hata hivyo Simba iliwasokota bao mbili msijisahaulishe hili pia
Wakari mnawatoa Agosto.

Na yanga akatolewa na al hilal mliamviwa hilo kuwa agosto dhaifu sana mpk alifungwa na namungo.

Mlibish,
Tulieni dawa iingie
 
Mpira wa miguu wakati fulani unategemea bahati sana.Sajili vizuri,jiweke vizuri kisha subiri bahati inaweza kukubeba.

Haya mashujaa mliowatoa timu dhaifu kuliko zote Afrika kusini,njooni hapa mtukane kuondoa uchungu mioyoni mwenu maana mmejaa sifa na hampendi habari kama hizi.

Nilikuwa najiuliza kwa nini ijapo mpo fainali hamna furah!?Kumbe njia mliyopita mkiwaza tu mnaona aibu mnabaki kuisema Simba ili mpate furaha.

Hata hivyo Simba iliwasokota bao mbili msijisahaulishe hili pia
Basi sawa.

Kachukue tangawizi na malimao ujifukize. Naona ka Corona kanakunyemelea.
 
Back
Top Bottom