Timu yenu iliyowapa ushujaa imeshuka daraja

Mpira wa miguu wakati fulani unategemea bahati sana.Sajili vizuri,jiweke vizuri kisha subiri bahati inaweza kukubeba.

Haya mashujaa mliowatoa timu dhaifu kuliko zote Afrika kusini,njooni hapa mtukane kuondoa uchungu mioyoni mwenu maana mmejaa sifa na hampendi habari kama hizi.

Nilikuwa najiuliza kwa nini ijapo mpo fainali hamna furah!?Kumbe njia mliyopita mkiwaza tu mnaona aibu mnabaki kuisema Simba ili mpate furaha.

Hata hivyo Simba iliwasokota bao mbili msijisahaulishe hili pia
Sio shida zetu mkuuu wewe endelea kufa kiume
 
Aaaaa haiwezekani!Ina maana Semaji la CAF likikuwa linasema kweli?Waje Zolan wathibitishe hili.Si kweli.Sisi Utopolo wakubwa.Wivu tu.
 
Yaaaangaaaaaaaa waleeeeeeeeee tralukaaaa
20230518_135126.jpg
 
Kila nikitaka kuisifu Yanga kuwa Ni timu Bora Africa huwa naishiwa nguvu. Ona Sasa timu iliyowasumbua na kuwakosa kosa mabao nusu fainali malumo Sasa imechapwa mbili bila na kushuka daraja South Afrika. Huku timu inayoongoza ligi hiyo hiyo kwa point karibu karibu 16 juu ya mshindi wa pili. Kifupi timu isiyoshikiks south Africa Mamelod ikitolewa klabu bingwa kwa muda wa kawaida na wydad timu Ambayo aliwatoa kwa matuta baada ya kunusurika kipigo Cha mbwa mwizi kwa mkapa*

Tunapoenda kusifu au kulinda Simba au Yanga kimataifa tuwe tunaangalia na njia walizopitia.

Kumbuka timu iliyowaondosha Yanga klabu bingwa ilichabangwa na mabingwa Hawa wa south afrika kwenye group stage na kutovuka makundi.
Toneshe medali ya final
 
Mpira wa miguu wakati fulani unategemea bahati sana.Sajili vizuri,jiweke vizuri kisha subiri bahati inaweza kukubeba.

Haya mashujaa mliowatoa timu dhaifu kuliko zote Afrika kusini,njooni hapa mtukane kuondoa uchungu mioyoni mwenu maana mmejaa sifa na hampendi habari kama hizi.

Nilikuwa najiuliza kwa nini ijapo mpo fainali hamna furah!?Kumbe njia mliyopita mkiwaza tu mnaona aibu mnabaki kuisema Simba ili mpate furaha.

Hata hivyo Simba iliwasokota bao mbili msijisahaulishe hili pia
Stress
Stress mbaya sana unaweza kubaka house girl kesho utasema pombe
 
Haiwezekani mzee, labda kama unazungumzia Everton aje kucheza NBC.

Kiwango walichokionesha Marumo msimu uliopita ndio kilichompa nafasi ya kuingia huko!

Kiwango chake msimu huu ni KUSHUKA daraja, Yanga amepitia njia ya mteremko, full stop.

Timu zilizo kwenye ubora wake, Yanga alishindwa mapema, si ndio? Akaangukia huku sasa!

Timu zote hazikuwa kwenye ubora wao tofauti ya Yanga!
Twende kwa fact sio unasema tu haiwezekani bila kuweka misingi ya hoja.

Hawa Marumo kwa South Africa si dhaifu si ndio, je unaweza kuniambia ni kwanini timu dhaifu ya kutoka South Africa imemfunga timu inayoshika nafasi ya tatu ( tofauti ya point 2 na iyeshika nafasi huku wakiwa na game mbili mkononi) ambao ni Pyramids ambao pia ni washindi kwenye kombe la shirikisho Misri.

Nipe sababu kwanini hii tumu dhaifu kutoka South Africa imeifunga goli mbili kwa bila timu inayoshika nafasi ya nane kwenye ligi ya Algeria (USM Alger)?

Nipe sababu kwanini timu dhaifu kutoka South Africa imeifunga nje ndani timu ya pili kwenye msima wa ligi ya Congo (Sait eloi Lupopo)

Nipe sababu kwanini timu dhaifu kutoka South Africa imeifunga timu za juu kwenye msimamo wa ligi ya Libya (Al Ahli Tripoli na Al Akhdar)

Nipe sababu ya hawa Marumo kushindwa kung'ara endapo wangekuwa kwenye ligi za nchi zingine.
 
Umewahi kujiuliza mwaka Jana wakati marumo wanapata chance ya kucheza shirikisho waliokuwa nafasi ya ngap kwenye ligi ya south... Shirikisha akili
 
Ulisshaona mtu akiachwa utasikia mwanamke mwenyewe unakomwe [emoji23], mara wakiitwa wanaume nawewe utatoka, sasa kama hauumii si ukae kimya!
 
Mpira wa miguu wakati fulani unategemea bahati sana.Sajili vizuri,jiweke vizuri kisha subiri bahati inaweza kukubeba.

Haya mashujaa mliowatoa timu dhaifu kuliko zote Afrika kusini,njooni hapa mtukane kuondoa uchungu mioyoni mwenu maana mmejaa sifa na hampendi habari kama hizi.

Nilikuwa najiuliza kwa nini ijapo mpo fainali hamna furah!?Kumbe njia mliyopita mkiwaza tu mnaona aibu mnabaki kuisema Simba ili mpate furaha.

Hata hivyo Simba iliwasokota bao mbili msijisahaulishe hili pia
Punguza makasiriko
 
Kila nikitaka kuisifu Yanga kuwa Ni timu Bora Africa huwa naishiwa nguvu. Ona Sasa timu iliyowasumbua na kuwakosa kosa mabao nusu fainali malumo Sasa imechapwa mbili bila na kushuka daraja South Afrika. Huku timu inayoongoza ligi hiyo hiyo kwa point karibu karibu 16 juu ya mshindi wa pili. Kifupi timu isiyoshikiks south Africa Mamelod ikitolewa klabu bingwa kwa muda wa kawaida na wydad timu Ambayo aliwatoa kwa matuta baada ya kunusurika kipigo Cha mbwa mwizi kwa mkapa*

Tunapoenda kusifu au kulinda Simba au Yanga kimataifa tuwe tunaangalia na njia walizopitia.

Kumbuka timu iliyowaondosha Yanga klabu bingwa ilichabangwa na mabingwa Hawa wa south afrika kwenye group stage na kutovuka makundi.
Rudi shule kafundishwe upya, ni sawa na kusema Man u ni bora kuliko Madrid sababu Man u alimfunga Barcelona bingwa wa La liga au Man u alimfunga Man city then Man city akamfunga Madrid! mambo hayaendagi hivyo brother.
 
Back
Top Bottom