Haiwezekani mzee, labda kama unazungumzia Everton aje kucheza NBC.Ligi za ndani haiwezi kuhukumu ubira au ubovu wa timu kwasababu kila ligi ina kiwango chake cha ubora tofauti na ligi ya nchi nyingine. Timu inaweza kushuka daraja nhi fulani lakini ikaenda nchi nyingine ikabeba ubingwa.
Ha ha haa!Acheni ushamba, ni juzi tu tumemfunga Ruvu aliyeshuka daraja tumeshangilia wiki mzima
Tatizo roho zina wauma na kupwitaWote mmeongozana vichwa maji wa mchezo wa mpira wa miguu
Hao wa Marumo mpaka wamefika hapo kwenye nusu fainali walicheza na timu zina,oshuka daraja wenzie? Mbona hushangai Kabylie alifika robo fainali klabu bingwa na huku wakiwa nafasi za chini kabisa kwenye msimamo wa ligi ya Algeria.
Hao Marumo mpaka wanafika hatua hiyo wamemtoa Pyramids timu ya tatu kwa ubora ligi ya Misri. Pia hao Pyramids imecheza fainali kombe la Egypt FA msimu huu na kutoa sare na Al Ahly ndani ya dakika 90. Hivyo Pyramids ni moja ya timu bora kabisa Misri.
Ligi za ndani haiwezi kuhukumu ubira au ubovu wa timu kwasababu kila ligi ina kiwango chake cha ubora tofauti na ligi ya nchi nyingine. Timu inaweza kushuka daraja nhi fulani lakini ikaenda nchi nyingine ikabeba ubingwa.
Marumo katika kundi lake alikuwa pamoja na huyu anayecheza fainali na Yanga, na walikula goli mbili pale South Africa. Na ndio timu pekee ambayo kwenye uwanja wao wa nyumbani kwenye kombe la shirikisho hawakuwa kufungwa.
Pendeni mpira kuliko kupnda timu, hayo madhara yake
Ukistaajabu ya roho mbayaAcheni ushamba, ni juzi tu tumemfunga Ruvu aliyeshuka daraja tumeshangilia wiki mzima
Makolokolo akiteseka hivi huwa nakuwa mbinguni kwa kula bata kabisaaa [emoji16]Kila nikitaka kuisifu Yanga kuwa Ni timu Bora Africa huwa naishiwa nguvu. Ona Sasa timu iliyowasumbua na kuwakosa kosa mabao nusu fainali malumo Sasa imechapwa mbili bila na kushuka daraja South Afrika. Huku timu inayoongoza ligi hiyo hiyo kwa point karibu karibu 16 juu ya mshindi wa pili. Kifupi timu isiyoshikiks south Africa Mamelod ikitolewa klabu bingwa kwa muda wa kawaida na wydad timu Ambayo aliwatoa kwa matuta baada ya kunusurika kipigo Cha mbwa mwizi kwa mkapa*
Tunapoenda kusifu au kulinda Simba au Yanga kimataifa tuwe tunaangalia na njia walizopitia.
Kumbuka timu iliyowaondosha Yanga klabu bingwa ilichabangwa na mabingwa Hawa wa south afrika kwenye group stage na kutovuka makundi.