MudiMo una stress we tajiri uchwara
Kudadadeki [emoji28]Acheni ushamba, ni juzi tu tumemfunga Ruvu aliyeshuka daraja tumeshangilia wiki mzima
Sio shida zetu mkuuu wewe endelea kufa kiumeMpira wa miguu wakati fulani unategemea bahati sana.Sajili vizuri,jiweke vizuri kisha subiri bahati inaweza kukubeba.
Haya mashujaa mliowatoa timu dhaifu kuliko zote Afrika kusini,njooni hapa mtukane kuondoa uchungu mioyoni mwenu maana mmejaa sifa na hampendi habari kama hizi.
Nilikuwa najiuliza kwa nini ijapo mpo fainali hamna furah!?Kumbe njia mliyopita mkiwaza tu mnaona aibu mnabaki kuisema Simba ili mpate furaha.
Hata hivyo Simba iliwasokota bao mbili msijisahaulishe hili pia
Wekea lamination ya kombe lao kabisa la kufa kiume Chifu [emoji847]Sio shida zetu mkuuu wewe endelea kufa kiume
Toneshe medali ya finalKila nikitaka kuisifu Yanga kuwa Ni timu Bora Africa huwa naishiwa nguvu. Ona Sasa timu iliyowasumbua na kuwakosa kosa mabao nusu fainali malumo Sasa imechapwa mbili bila na kushuka daraja South Afrika. Huku timu inayoongoza ligi hiyo hiyo kwa point karibu karibu 16 juu ya mshindi wa pili. Kifupi timu isiyoshikiks south Africa Mamelod ikitolewa klabu bingwa kwa muda wa kawaida na wydad timu Ambayo aliwatoa kwa matuta baada ya kunusurika kipigo Cha mbwa mwizi kwa mkapa*
Tunapoenda kusifu au kulinda Simba au Yanga kimataifa tuwe tunaangalia na njia walizopitia.
Kumbuka timu iliyowaondosha Yanga klabu bingwa ilichabangwa na mabingwa Hawa wa south afrika kwenye group stage na kutovuka makundi.
Haisaidii.Mlicheza na timu mbovu ya mitaa ya wapi sijui!Jamani makolo wamechukua kombe lingine la marumo gallant kushuka daraja
StressMpira wa miguu wakati fulani unategemea bahati sana.Sajili vizuri,jiweke vizuri kisha subiri bahati inaweza kukubeba.
Haya mashujaa mliowatoa timu dhaifu kuliko zote Afrika kusini,njooni hapa mtukane kuondoa uchungu mioyoni mwenu maana mmejaa sifa na hampendi habari kama hizi.
Nilikuwa najiuliza kwa nini ijapo mpo fainali hamna furah!?Kumbe njia mliyopita mkiwaza tu mnaona aibu mnabaki kuisema Simba ili mpate furaha.
Hata hivyo Simba iliwasokota bao mbili msijisahaulishe hili pia
Kuna watu watajinyonga😂Stress mbaya sana
Twende kwa fact sio unasema tu haiwezekani bila kuweka misingi ya hoja.Haiwezekani mzee, labda kama unazungumzia Everton aje kucheza NBC.
Kiwango walichokionesha Marumo msimu uliopita ndio kilichompa nafasi ya kuingia huko!
Kiwango chake msimu huu ni KUSHUKA daraja, Yanga amepitia njia ya mteremko, full stop.
Timu zilizo kwenye ubora wake, Yanga alishindwa mapema, si ndio? Akaangukia huku sasa!
Timu zote hazikuwa kwenye ubora wao tofauti ya Yanga!
Ilo sisi hatujui kikubwa tuchukue kombe tuweke historia,kikazi kijacho kijivunie wala hawatojua kuwa tulikutana na timu dhaifuHaisaidii.Mlicheza na timu mbovu ya mitaa ya wapi sijui!
Punguza makasirikoMpira wa miguu wakati fulani unategemea bahati sana.Sajili vizuri,jiweke vizuri kisha subiri bahati inaweza kukubeba.
Haya mashujaa mliowatoa timu dhaifu kuliko zote Afrika kusini,njooni hapa mtukane kuondoa uchungu mioyoni mwenu maana mmejaa sifa na hampendi habari kama hizi.
Nilikuwa najiuliza kwa nini ijapo mpo fainali hamna furah!?Kumbe njia mliyopita mkiwaza tu mnaona aibu mnabaki kuisema Simba ili mpate furaha.
Hata hivyo Simba iliwasokota bao mbili msijisahaulishe hili pia
House girl ahheshimiwe, labda kubaka kuku na mbuzi[emoji23][emoji23][emoji23]Stress
Stress mbaya sana unaweza kubaka house girl kesho utasema pombe
Rudi shule kafundishwe upya, ni sawa na kusema Man u ni bora kuliko Madrid sababu Man u alimfunga Barcelona bingwa wa La liga au Man u alimfunga Man city then Man city akamfunga Madrid! mambo hayaendagi hivyo brother.Kila nikitaka kuisifu Yanga kuwa Ni timu Bora Africa huwa naishiwa nguvu. Ona Sasa timu iliyowasumbua na kuwakosa kosa mabao nusu fainali malumo Sasa imechapwa mbili bila na kushuka daraja South Afrika. Huku timu inayoongoza ligi hiyo hiyo kwa point karibu karibu 16 juu ya mshindi wa pili. Kifupi timu isiyoshikiks south Africa Mamelod ikitolewa klabu bingwa kwa muda wa kawaida na wydad timu Ambayo aliwatoa kwa matuta baada ya kunusurika kipigo Cha mbwa mwizi kwa mkapa*