kocha Nabi
JF-Expert Member
- Feb 1, 2022
- 709
- 1,881
Moja ya vitu vilivyofanya niandike uzi huu, ni jinsi mchakato wa timu zetu zilivyopatikana, nyingi zimeenda kibahati bahati na figisu za Kiafrika. Hili linajidhihirisha kwenye mechi za kirafiki, yaani Mnigeria ananyanyaswa kama mtoto.
Pia wachezaji wengi wa Kiafrika watakaoenda kuomba omba jezi na viatu hadi itakuwa kero, ni kama wanashindana kujaza jezi ndani na kusahau kilichowapeleka.
Pia wachezaji wengi wa Kiafrika watakaoenda kuomba omba jezi na viatu hadi itakuwa kero, ni kama wanashindana kujaza jezi ndani na kusahau kilichowapeleka.