Gwele
JF-Expert Member
- Jun 7, 2016
- 2,604
- 3,319
Yaani unatoa mfano wa 2010 kwenye worldcup ya 2022 kweli mkuu huna mfano wa hiyo match fixing kwa mwaka husika?Kuna baadhi zimepita kwa match fixing nahisi ni kama NIGERIA 2010 naskia walifanya match fixing ndo wakaqualify