kocha Nabi
JF-Expert Member
- Feb 1, 2022
- 709
- 1,881
Kuna baadhi zimepita kwa match fixing nahisi ni kama NIGERIA 2010 naskia walifanya match fixing ndo wakaqualifyMoja ya vitu vilivyofanya niandike uzi huu, ni jinsi mchakato wa timu zetu zilivyopatikana, nyingi zimeenda kibahati bahati na figisu za Kiafrika. Hili linajidhihirisha kwenye mechi za kirafiki, yaani Mnigeria ananyanyaswa kama mtoto.
Pia wachezaji wengi wa Kiafrika watakaoenda kuomba omba jezi na viatu hadi itakuwa kero, ni kama wanashindana kujaza jezi ndani na kusahau kilichowapeleka.
kwani nigeria kafuzu kombe la dunia la wapi mkuu?Moja ya vitu vilivyofanya niandike uzi huu, ni jinsi mchakato wa timu zetu zilivyopatikana, nyingi zimeenda kibahati bahati na figisu za Kiafrika. Hili linajidhihirisha kwenye mechi za kirafiki, yaani Mnigeria ananyanyaswa kama mtoto.
Pia wachezaji wengi wa Kiafrika watakaoenda kuomba omba jezi na viatu hadi itakuwa kero, ni kama wanashindana kujaza jezi ndani na kusahau kilichowapeleka.
We kweli kilaza, unazungumzia timu za afrika kwenda kufanya vibaya WC halafu mfano unautolea kwa NIGERIA, sasa nigeria wopo WC ya mkeo?Moja ya vitu vilivyofanya niandike uzi huu, ni jinsi mchakato wa timu zetu zilivyopatikana, nyingi zimeenda kibahati bahati na figisu za Kiafrika. Hili linajidhihirisha kwenye mechi za kirafiki, yaani Mnigeria ananyanyaswa kama mtoto.
Pia wachezaji wengi wa Kiafrika watakaoenda kuomba omba jezi na viatu hadi itakuwa kero, ni kama wanashindana kujaza jezi ndani na kusahau kilichowapeleka.
Ubeligiji anakandwa na misri husemi chochote umetulia tuMoja ya vitu vilivyofanya niandike uzi huu, ni jinsi mchakato wa timu zetu zilivyopatikana, nyingi zimeenda kibahati bahati na figisu za Kiafrika. Hili linajidhihirisha kwenye mechi za kirafiki, yaani Mnigeria ananyanyaswa kama mtoto.
Pia wachezaji wengi wa Kiafrika watakaoenda kuomba omba jezi na viatu hadi itakuwa kero, ni kama wanashindana kujaza jezi ndani na kusahau kilichowapeleka.
Tena na timu ya Afrika ambayo hijafuzu kombe la dunia.Ubeligiji anakandwa na misri husemi chochote umetulia tu
Nilifikiri sababu yako itakua ni ugumu wa makundi tuliyopo.. maana nimecheki makundi yote sioni mwenye unafuu wa kuvuka group stageMoja ya vitu vilivyofanya niandike uzi huu, ni jinsi mchakato wa timu zetu zilivyopatikana, nyingi zimeenda kibahati bahati na figisu za Kiafrika. Hili linajidhihirisha kwenye mechi za kirafiki, yaani Mnigeria ananyanyaswa kama mtoto.
Pia wachezaji wengi wa Kiafrika watakaoenda kuomba omba jezi na viatu hadi itakuwa kero, ni kama wanashindana kujaza jezi ndani na kusahau kilichowapeleka.
Well saidWachezaji gani wataenda kuomba omba jezi ovyo wape heshima basi waafrca wezako asilimia kubwa ya wachezaji wengi wa mataifa ya Africa yanayocheza kombe la Dunia wengi wao wamekaa na kupata makuzi ya soka ulaya si wasenegal wala wa moroco nin kitu gani kipya kitafanya wakombe jezi kweny kombe la Dunia Messi au Ronaldo Kuna wachezaji kibao washa cheza na huyo Messi na Ronaldo na wamekutanao kweny ligi zao na ligi ya mabigwa ulaya kuwa na nidhamu na waafrica wezako basi
Hiyo team ya Nigeria uliyoitolea reference haijafuzu kaa Kwa kutulia, team zote zilizofuzu za Africa game za kirafiki zimeshinda kasoro Cameroon tu ndo ametoka Sare V PanamaMoja ya vitu vilivyofanya niandike uzi huu, ni jinsi mchakato wa timu zetu zilivyopatikana, nyingi zimeenda kibahati bahati na figisu za Kiafrika. Hili linajidhihirisha kwenye mechi za kirafiki, yaani Mnigeria ananyanyaswa kama mtoto.
Pia wachezaji wengi wa Kiafrika watakaoenda kuomba omba jezi na viatu hadi itakuwa kero, ni kama wanashindana kujaza jezi ndani na kusahau kilichowapeleka.
Senegal ana nafuuNilifikiri sababu yako itakua ni ugumu wa makundi tuliyopo.. maana nimecheki makundi yote sioni mwenye unafuu wa kuvuka group stage