Gwele JF-Expert Member Joined Jun 7, 2016 Posts 2,604 Reaction score 3,319 Nov 19, 2022 #21 RoadLofa said: Kuna baadhi zimepita kwa match fixing nahisi ni kama NIGERIA 2010 naskia walifanya match fixing ndo wakaqualify Click to expand... Yaani unatoa mfano wa 2010 kwenye worldcup ya 2022 kweli mkuu huna mfano wa hiyo match fixing kwa mwaka husika?
RoadLofa said: Kuna baadhi zimepita kwa match fixing nahisi ni kama NIGERIA 2010 naskia walifanya match fixing ndo wakaqualify Click to expand... Yaani unatoa mfano wa 2010 kwenye worldcup ya 2022 kweli mkuu huna mfano wa hiyo match fixing kwa mwaka husika?
mjingamimi JF-Expert Member Joined Aug 3, 2015 Posts 42,209 Reaction score 51,004 Nov 19, 2022 #22 Kwa matokeo ya mechi za kirafiki Kati ya timu za Africa na mabara mengine.timu za Africa zinaweza kufanya vizuri. Belgium ya kufungwa na Egypt?
Kwa matokeo ya mechi za kirafiki Kati ya timu za Africa na mabara mengine.timu za Africa zinaweza kufanya vizuri. Belgium ya kufungwa na Egypt?