crankshaft
JF-Expert Member
- Jun 12, 2019
- 1,427
- 3,438
Unapima ubora wa ligi kwa matokeo ya msimu huu tuu..?hapo ndo ubishi wa ligi bora ni ipi kati ya Laliga,epl,Bundasliga na ligi zingine za Ulaya huko.
Barca,R.Madrid,Bayern nawapa nafasi kubwa ya kufika nusu.
Ndio.Unapima ubora wa ligi kwa matokeo ya msimu huu tuu..?
hapo ndo ubishi wa ligi bora ni ipi kati ya Laliga,epl,Bundasliga na ligi zingine za Ulaya huko.
Barca,R.Madrid,Bayern nawapa nafasi kubwa ya kufika nusu.
Laliga ndio ligi bora duniani. Last season Real Madrid kawathibitishia
kwaio mkuu kipimo chako wewe ni ligi ipi imeingiza timu nyingi mtoano?kumbuka la liga timu iliyoingia mtoano ni madrid tu. Epl zote 4.
gemu ya Camp nou kati ya barca na manU uliangaliahapo ndo ubishi wa ligi bora ni ipi kati ya Laliga,epl,Bundasliga na ligi zingine za Ulaya huko.
Barca,R.Madrid,Bayern nawapa nafasi kubwa ya kufika nusu.
Europa League Madrid hayupo huko lkn bado timu za Spain zime dominatebora useme madrid ni timu bora. Ubora wa madrid unapimaje ubora wa ligi?
Barca akicheza kama alivofanya kwa Madrid ametokaMan U anapita leo
Timu bora inatoka kwenye ligi boraKuna tofauti ya ligi bora na timu bora,.
Leo hatoboi man U ana rekodi nzuri OtBarca akicheza kama alivofanya kwa Madrid ametoka
Ajabu sana aisee [emoji23]Unapima ubora wa ligi kwa matokeo ya msimu huu tuu..?
Si kweli.Timu bora inatoka kwenye ligi bora
hapana sikuicheki ila matokeo nayajua.gemu ya Camp nou kati ya barca na manU uliangalia