Timu za EPL zitaweza kutoboa ulaya msimu huu?

Timu za EPL zitaweza kutoboa ulaya msimu huu?

Usingesema la Liga Bora kuliko EPL...game ya elche vs getafe na Brighton vs Leeds ni mbingu na ardhi, UEFA wenyewe ligi yao no 1 ni EPL,Kisha la Liga,serie a,lakini mambo yaendavyo serie a itaipiku la Liga
kama unasema Real Madrid ndio bora pekee huku kwenye Europa League bado Sevilla na Villarreal wananyoosha watu unataka kusema ni bahati?
 
Il
kama unasema Real Madrid ndio bora pekee huku kwenye Europa League bado Sevilla na Villarreal wananyoosha watu unataka kusema ni bahati?
Sevilla na Villarreal kuwepo Europa siyo isue,hata sporting ya ureno wapo na wananyoosha watu,lakini man u kamtoa Barcelona anayeongoza la Liga wakati juve na Lazio,Roma walio nafasi za chini serie wapo
 
Back
Top Bottom