Timu za EPL zitaweza kutoboa ulaya msimu huu?

Timu za EPL zitaweza kutoboa ulaya msimu huu?

EPL haijitangazi mzee, walikuwepo kina Cr 7 pale ot wakaondoka still ligi iliendelea kuwashamoto, la Liga Messi na Ronaldo wamesepa wenyewe wanakiri viewers wamepungua

kuwa na viewers wengi haimaanishi kuwa wewe ndio Bora. Ubora unatokana na uwezo na sio viewers.
 
Haibadilishi ukweli kwamba Man U kapata ushindi kwa Barca kwa mara ya kwanza jana tangu ashinde mechi ya mwisho 2008.

Kutoka 2008 mpaka leo ni miaka mingapi?
Wamekutana Mara ngapi kipindi hicho chote!?
 
Kutizamwa na wengi au kushabikiwa na wengi sio hoja tushelezi ya kuwa wewe ni bora. Hata Brazil huwa na mashabiki wengi inapoanza world Cup na huishia kucharazwa mabao.
Hoja ni kwamba kwa nini epl licha ya kuwa ghali lakini bado watu wanalipa ving'amuzi kuitazama tofauti na la Liga!?
 
Hoja ni kwamba kwa nini epl licha ya kuwa ghali lakini bado watu wanalipa ving'amuzi kuitazama tofauti na la Liga!?

kwasababu wameweza kujitangaza vizuri kibiashara na kutengeneza mashabiki wengi kwenye Ulimwengu. Na zaidi kwa kupitia Common Wealth Countries ambzo ni makoloni yao.
 
Laliga kuna giants wawili au watatu ndio wanaoleta upinzani kwenye ubingwa while EPL kila timu iko vizuri.

Kuna mtu akatoa mfano mzuri wa shule A ni ovyo ila ina vipanga wawili au watatu while shule B imejaa vipanga kwa hiyo ukichukua wale vipanga wawili wa shule A bado wanaweza kuleta changamoto shule B yenye vipanga lakini pia hiyo haiondoi uhovyo wa shule A.

Nyie EPL ni habari nyingine na ndio maana wanakazania kuleta super league kwa sababu itafika kipindi Newcastle ataweza kumbonda PSG au Bayern huku yeye akishika nafasi ya Sita kule kwao PSG akiongoza Ligue 1 kwa tofauti ya pointi 9.

N. B: hiyo sio sababu ya kuanzisha super league ila inaweza kuwa moja ya factors.
 
kwasababu wameweza kujitangaza vizuri kibiashara na kutengeneza mashabiki wengi kwenye Ulimwengu. Na zaidi kwa kupitia Common Wealth Countries ambzo ni makoloni yao.
La Liga tunaangalia zaidi ya muongo mmoja Sasa,kwa nini haipati mashabiki lakini man city inapata ilhali Haina muda mrefu tangu ianze kufanya vizuri!?
 
Man city, Chelsea, spurs wana nafasi kubwa nao za kufuzu hatua inayofuata, Chelsea kapoteza Moja bila na Dortmund ila sikuwahi kuona Chelsea chini ya porter wakicheza soka safi kama ile mechi na Dortmund, still wana nafasi Stamford bridge, man city second leg ana nafasi tena kubwa TU ya kumfunga vibaya lepzg huko etihad nafikiri mbugi ya first leg ilionekana licha ya formation iliyowashangaza wengi aliyocheza pep still kadroo Ngoma mbichi Mzee Etihad hiyo, spurs naye akiamua anapindua Mzee nyumbani siyo wa kuwakatia tamaa kabisa, Liverpool yeye labda itokee miujiza ambayo kimpira hutokea mara chache kwani nafasi ya Liverpool kuiona Hadi utumie microscope siyo Kwa kukatika vile...kwahiyo nafikiri second leg ndiyo muamuzi wa yote coz hata msimu huu sioni timu za la Liga UEFA, Europa hata mwana la Liga Barca kaondoka.
 
Acha uongo wewe.

Man city mpaka kalichoka kombe la ligi.

Ndani ya miaka 7 Man city kabeba ndoo mara 6 we unaleta uongo uongo.

Huyo leicester ubingwa unakumbuka kachukua mwaka gani?

Hata La liga Atletico pia kabeba ndoo miaka michache tu nyuma labda kama ufatilii.
Sio kweli miaka 10 iliyopita man city kabeba mara 5 tu na io miaka 7 unayo isema kabeba mara 4.
 
La Liga tunaangalia zaidi ya muongo mmoja Sasa,kwa nini haipati mashabiki lakini man city inapata ilhali Haina muda mrefu tangu ianze kufanya vizuri!?
EPL ni ligi yenye promotion kubwa ila football ipo Laliga
 
U tu Laliga naangalia MLS, League 1, Julper Pro, Seria A, EPL, Bundesliga, DStv premier League, too many to mention
Usingesema la Liga Bora kuliko EPL...game ya elche vs getafe na Brighton vs Leeds ni mbingu na ardhi, UEFA wenyewe ligi yao no 1 ni EPL,Kisha la Liga,serie a,lakini mambo yaendavyo serie a itaipiku la Liga
 
Back
Top Bottom