Timu za EPL zitaweza kutoboa ulaya msimu huu?

Ikiteteleka chelsea msimu huu balan ulaya ujue epl hali ni tete Chelsea ndo amekuwa mkombozi kwa epl misimu ya hiv karbuni ulaya
 
itakua huangalii hata hiyo la Liga yenyewe,ajax alimtoa Madrid,Dortmund alipiga 7 Madrid Bayern akapiga 8 Barcelona,unamaanisha ligi za uholanzi na bundes Liga zilikua Bora kuliko la Liga!?..juzi tu hapa Liverpool alipindua meza kwa Barcelona,alipiga nne imara
Ajax kumtoa Madrid inatokea mara moja kwa miaka kadhaa hio ni tunaita bahati lakini kitendo cha team za Spain ku dominate European trophies inatoa picha jinsi gani Laliga ni ligi bora... Kawa miaka 10 toka 2011 mpka sasa timu za Spain zimechukua UCL mara 7 huku Europa League wamechukua mara 8 hii ni kubahatisha?
 
Kama nilivyosema awali,hata shule za kata zina wanafunzi Bora wawili watatu,lakini huwezi sema zinazidi ubora shule za hela Kama feza, Marian nk
 
Mara ngapi EPL inabadilisha regular top 4 au top 6. Nenda LaLiga mostly top 4 ni wale wale kila msimu which is wachukua ubingwa ndio hao hao misimu yote, tofauti na EPL juzi kati alichukua Leicester msimu huu anaweza chukua Arsenal. Tena yawezekana msimu ujao Newcastle akashiriki UEFA while LaLiga ni wale wale husikii timu mpya. Leo hii Leeds Utd inasajili mchezaji kutoka Juve, Nottingham Forest inachukua mchezaji kutoka Seria A. Haya mambo husikii Valladolid kasajili competitive player kutoka top six ya EPL

LaLiga ni ligi nzuri ila EPL ni habari nyingine kwenye ubora
 
Acha uongo wewe.

Man city mpaka kalichoka kombe la ligi.

Ndani ya miaka 7 Man city kabeba ndoo mara 6 we unaleta uongo uongo.

Huyo leicester ubingwa unakumbuka kachukua mwaka gani?

Hata La liga Atletico pia kabeba ndoo miaka michache tu nyuma labda kama ufatilii.
 
Kama nilivyosema awali,hata shule za kata zina wanafunzi Bora wawili watatu,lakini huwezi sema zinazidi ubora shule za hela Kama feza, Marian nk
ubora wa EPL over Laliga unaouzungumia wewe unatumia vigezo gani?
 
La

La Liga ni Bora kuliko NBC premier league,kigezo ni kipi kwenye ukweli huu!?
 
Misimu kama mitatu iliyopita jamaa wamefika mbali sana UEFA na Europa lakini msimu huu hakuna dalili ya kutoboa hatua ya mtoano waliyofikia.

Liverpool kashakula 5, Man City mzee wa kugawa goli tano jana kadroo, Chelsea ndo kama mnavyojua na Spurs hali si shwari msimu huu.

Wamebaki Man UTD tu leo usiku dhidi ya Barcelona.

Je, watatoboa msimu huu?
Man city na chelsea wanaingia robo fainal, liverpool anatolewa uyo spurz ndio 50/50
 
Acha uongo wewe.

Man city mpaka kalichoka kombe la ligi.

Ndani ya miaka 7 Man city kabeba ndoo mara 6 we unaleta uongo uongo.

Huyo leicester ubingwa unakumbuka kachukua mwaka gani?

Hata La liga Atletico pia kabeba ndoo miaka michache tu nyuma labda kama ufatilii.
Hii ndio mikurupuko sasa. Hapo sijazungumzia ubingwa wa ligi nimesema Leicester alibeba katika namna ambayo sio kati ya wale regular top six na nikasema pia msimu huu Arsenal naye yuko kwenye nafasi nzuri kuchukua ubingwa. Hivyo katika misimu kumi nyuma kuna timu nne ndio zimebadilishana ubingwa japo Man City ndio katawala kweli.

Sasa niletee Ligi ya Laliga misimu 10 nyuma kama sio Barcelona na Real Madrid ye Atletico akichukua anapoteana misimu hata mitano.
 
Haibadilishi ukweli kwamba Man U kapata ushindi kwa Barca kwa mara ya kwanza jana tangu ashinde mechi ya mwisho 2008.

Kutoka 2008 mpaka leo ni miaka mingapi?
Leta total history ya head to head usikazanie 2008 as if kila mwaka tunakutana.
 
Back
Top Bottom