ukikaidi utapigwa2
JF-Expert Member
- Feb 24, 2015
- 15,265
- 29,991
kama unasema Real Madrid ndio bora pekee huku kwenye Europa League bado Sevilla na Villarreal wananyoosha watu unataka kusema ni bahati?Usingesema la Liga Bora kuliko EPL...game ya elche vs getafe na Brighton vs Leeds ni mbingu na ardhi, UEFA wenyewe ligi yao no 1 ni EPL,Kisha la Liga,serie a,lakini mambo yaendavyo serie a itaipiku la Liga