Ndugu yako ndo alizitaka.Umeamua kuweka mpaka za 1994/95
Barca safar imeishia pale Old Traffordhapo ndo ubishi wa ligi bora ni ipi kati ya Laliga,epl,Bundasliga na ligi zingine za Ulaya huko.
Barca,R.Madrid,Bayern nawapa nafasi kubwa ya kufika nusu.
EPL haijitangazi mzee, walikuwepo kina Cr 7 pale ot wakaondoka still ligi iliendelea kuwashamoto, la Liga Messi na Ronaldo wamesepa wenyewe wanakiri viewers wamepungua
Zote ni takwimuUmeamua kuweka mpaka za 1994/95
Wamekutana Mara ngapi kipindi hicho chote!?Haibadilishi ukweli kwamba Man U kapata ushindi kwa Barca kwa mara ya kwanza jana tangu ashinde mechi ya mwisho 2008.
Kutoka 2008 mpaka leo ni miaka mingapi?
La Liga Hadi Azam aliacha kuonesha,epl ni ghali lakini watu wanalipa tu ving'amuzi,Kuna ubora wanaufuatakuwa na viewers wengi haimaanishi kuwa wewe ndio Bora. Ubora unatokana na uwezo na sio viewers.
La Liga Hadi Azam aliacha kuonesha,epl ni ghali lakini watu wanalipa tu ving'amuzi,Kuna ubora wanaufuata
Hoja ni kwamba kwa nini epl licha ya kuwa ghali lakini bado watu wanalipa ving'amuzi kuitazama tofauti na la Liga!?Kutizamwa na wengi au kushabikiwa na wengi sio hoja tushelezi ya kuwa wewe ni bora. Hata Brazil huwa na mashabiki wengi inapoanza world Cup na huishia kucharazwa mabao.
Hoja ni kwamba kwa nini epl licha ya kuwa ghali lakini bado watu wanalipa ving'amuzi kuitazama tofauti na la Liga!?
La Liga tunaangalia zaidi ya muongo mmoja Sasa,kwa nini haipati mashabiki lakini man city inapata ilhali Haina muda mrefu tangu ianze kufanya vizuri!?kwasababu wameweza kujitangaza vizuri kibiashara na kutengeneza mashabiki wengi kwenye Ulimwengu. Na zaidi kwa kupitia Common Wealth Countries ambzo ni makoloni yao.
La Liga tunaangalia zaidi ya muongo mmoja Sasa,kwa nini haipati mashabiki lakini man city inapata ilhali Haina muda mrefu tangu ianze kufanya vizuri!?
Mbona umeenda off point ndugu, siyo hoja yetuKUPATA KWAO MASHABIKI KUWASAIDIA NINI KATIKA HARAKATI ZAO ZA KUSHINDA CHAMPION LEAGUE?
Nshajubu hili swali.Wamekutana Mara ngapi kipindi hicho chote!?
Sio kweli miaka 10 iliyopita man city kabeba mara 5 tu na io miaka 7 unayo isema kabeba mara 4.Acha uongo wewe.
Man city mpaka kalichoka kombe la ligi.
Ndani ya miaka 7 Man city kabeba ndoo mara 6 we unaleta uongo uongo.
Huyo leicester ubingwa unakumbuka kachukua mwaka gani?
Hata La liga Atletico pia kabeba ndoo miaka michache tu nyuma labda kama ufatilii.
EPL ni ligi yenye promotion kubwa ila football ipo LaligaLa Liga tunaangalia zaidi ya muongo mmoja Sasa,kwa nini haipati mashabiki lakini man city inapata ilhali Haina muda mrefu tangu ianze kufanya vizuri!?
Itakua hata la Liga yenyewe huangaliiI ni ligi yenye promotion kubwa ila football ipo Laliga
Sio tu Laliga naangalia MLS, League 1, Julper Pro, Seria A, EPL, Bundesliga, DStv premier League, too many to mentionItakua hata la Liga yenyewe huangalii
Usingesema la Liga Bora kuliko EPL...game ya elche vs getafe na Brighton vs Leeds ni mbingu na ardhi, UEFA wenyewe ligi yao no 1 ni EPL,Kisha la Liga,serie a,lakini mambo yaendavyo serie a itaipiku la LigaU tu Laliga naangalia MLS, League 1, Julper Pro, Seria A, EPL, Bundesliga, DStv premier League, too many to mention