Timu za Kariakoo Jengeni viwanja vyenu ili kuongeza furaha za mashabiki wenu

Timu za Kariakoo Jengeni viwanja vyenu ili kuongeza furaha za mashabiki wenu

Mpanda nyangobe

JF-Expert Member
Joined
Apr 30, 2015
Posts
778
Reaction score
1,723
Kwa Hali ilivyo ya kutegemea uwanja wa serikali Kwa mechi muhimu za klabu za kimataifa..ipo siku timu hizo za Kariakoo zitacheza mechi za nyumbani nchini congo au Rwanda!!!.... Ni aibu tunaambiwa ligi yetu imekuwa mara ipo namba 5 Afrika ..na blah blah kibao...huku timu kubwa zikitegemea uwanja mmoja unaoongozwa kisiasa Siasa.!!!.... Jengeni viwanja vyenu ..mbona mnadhaminiwa na wadhamini ma billionaire..je wanafeli wapi...inatia hasira sana mxxxxuuuuu!
 
Kinachowapata Makolo ni Karma, mliharibu furaha ya Yanga fainali ya shirikisho, hamuwezi pata furaha kwenye hii fainali
 
Ac Milan Na Inter kile chao
Jifunze kuish kimkakati
 
Kwa Hali ilivyo ya kutegemea uwanja wa serikali Kwa mechi muhimu za klabu za kimataifa..ipo siku timu hizo za Kariakoo zitacheza mechi za nyumbani nchini congo au Rwanda!!!.... Ni aibu tunaambiwa ligi yetu imekuwa mara ipo namba 5 Afrika ..na blah blah kibao...huku timu kubwa zikitegemea uwanja mmoja unaoongozwa kisiasa Siasa.!!!.... Jengeni viwanja vyenu ..mbona mnadhaminiwa na wadhamini ma billionaire..je wanafeli wapi...inatia hasira sana mxxxxuuuuu!
Kuna wajinga watakuja na hoja yao ya kusema "mbona AC Milan na Inter Milan mpaka leo wanatumia uwanja mmoja wa Manispaa kule Italia!
Kwa hiyo ujenzi wa viwanja binafsi siyo kipaumbele kwa hivi vilabu vyetu viwili vikongwe kabisa nchini".

Moja ya hoja ya kipumbavu kabisa kwa mtazamo wangu.
 
Hazina uwezo.......

Uwanja wa Tp mazembe wa lubumbashi ni mdogo sana....na ni wa kawaida sana sana....

Lakini Kupitia uwanja huohuo, Tp mazembe ameshawahi ku-host fainali mbili..
 
Back
Top Bottom