Timu zinazocheza na Yanga hawakazi kama wakicheza na Simba

bulabo

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2015
Posts
628
Reaction score
780
Hizi timu zinazocheza na Yanga za hapa nchini hazikazi kama ambavyo zikicheza na Simba. Jana Mtibwa walikuwa kama wagonjwa, beki hazikabi, kipa ovyo kabisa. Kwa hali hii Simba tujipange kuna dalili wenzetu wananunua mechi. TFF iwe makini sana na mechi fixing! Haiwezekani beki anajiangusha kipa anaruka ruka tu!

Simba tunakazi kubwa kuchukua ubingwa kwa staili ya timu zingine zikicheza na Utopolo. KMC walitoka jasho na damu kupata droo na Simba pamoja na makosa yetu lakini KMC walionyesha kupambana sana. Subiri uone siku KMC wakicheza na Yanga utaona wapo laini sana.

Hii ndio ligi yetu mpira unakosa ladha.
 
Tuache ushabiki magimbi,wakati mwingine tukubali tu kwa sasa Utopolo wana timu bora sana maana hata sisi Lunyasi tumeshindwa kuwafunga kwa mechi kadhaa tulizokutana nao
Ni kweli kwa sasa wana timu nzuri na wanajituma sana..

Ukichanganya na pesa jamaa anayotoa,na uchawi wa vile vizee vya utopolo,safari hii tutakomeshwa sana wana Simba
 
Tuache ushabiki magimbi,wakati mwingine tukubali tu kwa sasa Utopolo wana timu bora sana maana hata sisi Lunyasi tumeshindwa kuwafunga kwa mechi kadhaa tulizokutana nao
Labda kwa uchawi simba ilikuwa ina kina chama na miquisoni lakini ikikutana na yanga mbovu ya Zahera ilikuwa haishindi kwa hyo sikubaliani na ww kwamba yanga kumfunga simba ni ubora zaidi ya ulozi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…