Timu zinazocheza na Yanga hawakazi kama wakicheza na Simba

Hizi timu zinazocheza na Yanga za hapa nchini hazikazi kama ambavyo zikicheza na Simba. Jana MTIBWA walikuwa kama wagonjwa, beki hazikabi, KIPA OVYO KABISA. Je kwa hali hii SIMBA tujipange kuna dalili wenzetu wananunua mechi. TFF iwe makini sana na mechi fixing! Haiwezekani beki anajiangusha kipa anaruka ruka tu

SIMBA tunakazi kubwa kuchukua UBINGWA kwa staili ya timu zingine zikicheza na UTOPOLO. KMC walitoka jasho na damu kupata droo na SIMBA pamoja na makosa yetu lakini KMC walionyesha kupambana sana. Subiri UONE siku KMC wakicheza na Yanga utaona wapo laini sana.

Hii ndio LIGI yetu mpira unakosa ladha.
Waache wawadekeze hivyohivyo.Ndiyo maana kimataifa wanabonyezwa kizenji.😂😂😂😂
 
Labda kwa uchawi simba ilikuwa ina kina chama na miquisoni lakini ikikutana na yanga mbovu ya Zahera ilikuwa haishindi kwa hyo sikubaliani na ww kwamba yanga kumfunga simba ni ubora zaidi ya ulozi.
KOLOWIZARD wa hedi wewe, ndiyomaana michezaji yenu ikiwa kwenye timu ya Taifa Stars inarukaruka tu ikiwaza ushirikina badala ya juhudi na uwezo ili wawe wa kimataifa zaidi [emoji23]
 
Hizi timu zinazocheza na Yanga za hapa nchini hazikazi kama ambavyo zikicheza na Simba. Jana MTIBWA walikuwa kama wagonjwa, beki hazikabi, KIPA OVYO KABISA. Je, kwa hali hii SIMBA tujipange kuna dalili wenzetu wananunua mechi. TFF iwe makini sana na mechi fixing! Haiwezekani beki anajiangusha kipa anaruka ruka tu

SIMBA tunakazi kubwa kuchukua UBINGWA kwa staili ya timu zingine zikicheza na UTOPOLO. KMC walitoka jasho na damu kupata droo na SIMBA pamoja na makosa yetu lakini KMC walionyesha kupambana sana. Subiri UONE siku KMC wakicheza na Yanga utaona wapo laini sana.

Hii ndio LIGI yetu mpira unakosa ladha.
We unawalaumu KMC wakati Yanga tunanunua mechi mpaka tukicheza na nyinyi makolo? Mnaanguka anguka uwanjani kama fisi mwenye njaa.
 
Hizi timu zinazocheza na Yanga za hapa nchini hazikazi kama ambavyo zikicheza na Simba. Jana MTIBWA walikuwa kama wagonjwa, beki hazikabi, KIPA OVYO KABISA. Je, kwa hali hii SIMBA tujipange kuna dalili wenzetu wananunua mechi. TFF iwe makini sana na mechi fixing! Haiwezekani beki anajiangusha kipa anaruka ruka tu

SIMBA tunakazi kubwa kuchukua UBINGWA kwa staili ya timu zingine zikicheza na UTOPOLO. KMC walitoka jasho na damu kupata droo na SIMBA pamoja na makosa yetu lakini KMC walionyesha kupambana sana. Subiri UONE siku KMC wakicheza na Yanga utaona wapo laini sana.

Hii ndio LIGI yetu mpira unakosa ladha.
Kwahiyo hata simba wenyewe hawakazi wakicheza na Yanga?[emoji16]
 
Ni kweli kwa sasa wana timu nzuri na wanajituma sana..

Ukichanganya na pesa jamaa anayotoa,na uchawi wa vile vizee vya utopolo,safari hii tutakomeshwa sana wana Simba
Nyie uchawi wenu wa mchana kweupe mmeupeleka wapi? achana na imani potofu za kichawi chawi.
 
Hizi timu zinazocheza na Yanga za hapa nchini hazikazi kama ambavyo zikicheza na Simba. Jana MTIBWA walikuwa kama wagonjwa, beki hazikabi, KIPA OVYO KABISA. Je, kwa hali hii SIMBA tujipange kuna dalili wenzetu wananunua mechi. TFF iwe makini sana na mechi fixing! Haiwezekani beki anajiangusha kipa anaruka ruka tu

SIMBA tunakazi kubwa kuchukua UBINGWA kwa staili ya timu zingine zikicheza na UTOPOLO. KMC walitoka jasho na damu kupata droo na SIMBA pamoja na makosa yetu lakini KMC walionyesha kupambana sana. Subiri UONE siku KMC wakicheza na Yanga utaona wapo laini sana.

Hii ndio LIGI yetu mpira unakosa ladha.
Teh teh teh nimetangulia na kicheko kwanza, unaikosea heshima yanga ambayo ina kikosi bora ndo maana inapocheza na timu yoyote itaonekana timu husika ni laini au ni mbovu iyo inatokana na quality ya yanga ambayo ili uendane nayo inahitaji kazi ya ziada, ndo maana mechi anazoshinda yanga Simba anatoa sare au kugongwa, sio kwamba timu zinawakazia nyie bali uwezo wa kikosi chenu unakuwa unaendana na mpinzani mnaecheza naye, ifike mahali mkubali ubora wa yanga walionao kwa sasa vinginevyo mtatafuta kila aina ya sababu na amtozimaliza, Mtibwa kacheza mechi 3 bila kufungwa na alikuwa anaibuka na ushindi mzuri tu goli 3, goli 2 lakini jana amekutana na kigingi cha ubora wakasanda wenyewe
 
Hizi timu zinazocheza na Yanga za hapa nchini hazikazi kama ambavyo zikicheza na Simba. Jana MTIBWA walikuwa kama wagonjwa, beki hazikabi, KIPA OVYO KABISA. Je, kwa hali hii SIMBA tujipange kuna dalili wenzetu wananunua mechi. TFF iwe makini sana na mechi fixing! Haiwezekani beki anajiangusha kipa anaruka ruka tu

SIMBA tunakazi kubwa kuchukua UBINGWA kwa staili ya timu zingine zikicheza na UTOPOLO. KMC walitoka jasho na damu kupata droo na SIMBA pamoja na makosa yetu lakini KMC walionyesha kupambana sana. Subiri UONE siku KMC wakicheza na Yanga utaona wapo laini sana.

Hii ndio LIGI yetu mpira unakosa ladha.
Kama ilivyo tu kwa Coastal Union, Namungo na Azam wakicheza na Simba! Yaani wachezaji hujilegeza mpaka basi.

Wakicheza na Yanga sasa!! Siyo kukaza huko!!!
 
Hizi timu zinazocheza na Yanga za hapa nchini hazikazi kama ambavyo zikicheza na Simba. Jana MTIBWA walikuwa kama wagonjwa, beki hazikabi, KIPA OVYO KABISA. Je, kwa hali hii SIMBA tujipange kuna dalili wenzetu wananunua mechi. TFF iwe makini sana na mechi fixing! Haiwezekani beki anajiangusha kipa anaruka ruka tu

SIMBA tunakazi kubwa kuchukua UBINGWA kwa staili ya timu zingine zikicheza na UTOPOLO. KMC walitoka jasho na damu kupata droo na SIMBA pamoja na makosa yetu lakini KMC walionyesha kupambana sana. Subiri UONE siku KMC wakicheza na Yanga utaona wapo laini sana.

Hii ndio LIGI yetu mpira unakosa ladha.
Wna anguka anguka kama hawa?
1662391408901.jpg
IMG_20220903_203709.jpg
1661865539289.jpg
1661726007969.jpg
 
Hizi timu zinazocheza na Yanga za hapa nchini hazikazi kama ambavyo zikicheza na Simba. Jana MTIBWA walikuwa kama wagonjwa, beki hazikabi, KIPA OVYO KABISA. Je, kwa hali hii SIMBA tujipange kuna dalili wenzetu wananunua mechi. TFF iwe makini sana na mechi fixing! Haiwezekani beki anajiangusha kipa anaruka ruka tu

SIMBA tunakazi kubwa kuchukua UBINGWA kwa staili ya timu zingine zikicheza na UTOPOLO. KMC walitoka jasho na damu kupata droo na SIMBA pamoja na makosa yetu lakini KMC walionyesha kupambana sana. Subiri UONE siku KMC wakicheza na Yanga utaona wapo laini sana.

Hii ndio LIGI yetu mpira unakosa ladha.
UCHAWIIIIII
 
Wewe shinda mechi zako, acha kutegemea anguko la mpinzani wako
 
Back
Top Bottom