Timu zinazocheza na Yanga hawakazi kama wakicheza na Simba

Waache wawadekeze hivyohivyo.Ndiyo maana kimataifa wanabonyezwa kizenji.πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Labda kwa uchawi simba ilikuwa ina kina chama na miquisoni lakini ikikutana na yanga mbovu ya Zahera ilikuwa haishindi kwa hyo sikubaliani na ww kwamba yanga kumfunga simba ni ubora zaidi ya ulozi.
KOLOWIZARD wa hedi wewe, ndiyomaana michezaji yenu ikiwa kwenye timu ya Taifa Stars inarukaruka tu ikiwaza ushirikina badala ya juhudi na uwezo ili wawe wa kimataifa zaidi [emoji23]
 
We unawalaumu KMC wakati Yanga tunanunua mechi mpaka tukicheza na nyinyi makolo? Mnaanguka anguka uwanjani kama fisi mwenye njaa.
 
Kwahiyo hata simba wenyewe hawakazi wakicheza na Yanga?[emoji16]
 
Ni kweli kwa sasa wana timu nzuri na wanajituma sana..

Ukichanganya na pesa jamaa anayotoa,na uchawi wa vile vizee vya utopolo,safari hii tutakomeshwa sana wana Simba
Nyie uchawi wenu wa mchana kweupe mmeupeleka wapi? achana na imani potofu za kichawi chawi.
 
Teh teh teh nimetangulia na kicheko kwanza, unaikosea heshima yanga ambayo ina kikosi bora ndo maana inapocheza na timu yoyote itaonekana timu husika ni laini au ni mbovu iyo inatokana na quality ya yanga ambayo ili uendane nayo inahitaji kazi ya ziada, ndo maana mechi anazoshinda yanga Simba anatoa sare au kugongwa, sio kwamba timu zinawakazia nyie bali uwezo wa kikosi chenu unakuwa unaendana na mpinzani mnaecheza naye, ifike mahali mkubali ubora wa yanga walionao kwa sasa vinginevyo mtatafuta kila aina ya sababu na amtozimaliza, Mtibwa kacheza mechi 3 bila kufungwa na alikuwa anaibuka na ushindi mzuri tu goli 3, goli 2 lakini jana amekutana na kigingi cha ubora wakasanda wenyewe
 
Kama ilivyo tu kwa Coastal Union, Namungo na Azam wakicheza na Simba! Yaani wachezaji hujilegeza mpaka basi.

Wakicheza na Yanga sasa!! Siyo kukaza huko!!!
 
Wna anguka anguka kama hawa?
 
UCHAWIIIIII
 
Wewe shinda mechi zako, acha kutegemea anguko la mpinzani wako
 
Na mmeanza rasmi kucheza mechi za ugenini leo lazma wajela jela wamkojoze mtu
 
Mbna mapema tu ushaanza kulialia,we si unaongoza ligi🀣🀣🀣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…