Hizi timu zinazocheza na Yanga za hapa nchini hazikazi kama ambavyo zikicheza na Simba. Jana Mtibwa walikuwa kama wagonjwa, beki hazikabi, kipa ovyo kabisa. Kwa hali hii Simba tujipange kuna dalili wenzetu wananunua mechi. TFF iwe makini sana na mechi fixing! Haiwezekani beki anajiangusha kipa anaruka ruka tu!
Simba tunakazi kubwa kuchukua ubingwa kwa staili ya timu zingine zikicheza na Utopolo. KMC walitoka jasho na damu kupata droo na Simba pamoja na makosa yetu lakini KMC walionyesha kupambana sana. Subiri uone siku KMC wakicheza na Yanga utaona wapo laini sana.
Hii ndio ligi yetu mpira unakosa ladha.