Johnny Sack
JF-Expert Member
- Jan 21, 2017
- 8,984
- 19,288
Mtakatifu Luca alikuwa hachezi bali alikuwa anafundisha namna ya kucheza mpira.Ulaya ndiyo wakali wa kila kitu, siyo tech, siyo mpira, ustaarabu wa Dunia hii umeanzia Ulaya wpende ama uwachukie huo ndio ukweli, Yaani kila kitu.
Japokuwa hawana vipaji kama nchi za South America, lakini Europe wamejaliwa kitu muhimu zaidi kuliko vyote, akili. Ukicheki mpira wa Croatia vs Brazil ndiyo utajua kuwa ukiwa na akili basi utashinda kila kitu.
Wote wamepaka rangi nyweleBrazil ubishoo mwingi , na ulimbukeni , wengi wametokea maisha magumu wakipata majina full ubishoo na kujipodoa , ukiacha thiago Silva na Rodrigo , wengine wote mdebwedo Sana , hawana fighting spirit Acha watoke tuuuu
hahaha umenikumbusha zile ngoma walipomchapa koreaaWapuuzi wamkatwa mdomo, zile ngoma walizokua wakicheza zimeishia kwenye vilio.
Kwenye ustaarabu umedanganya.....maarifa yalitoka kwa wamisri yakapita kwa wagiriki,,,....waroma na hao wengine.......Ulaya ndiyo wakali wa kila kitu, siyo tech, siyo mpira, ustaarabu wa Dunia hii umeanzia Ulaya wpende ama uwachukie huo ndio ukweli, Yaani kila kitu.
Japokuwa hawana vipaji kama nchi za South America, lakini Europe wamejaliwa kitu muhimu zaidi kuliko vyote, akili. Ukicheki mpira wa Croatia vs Brazil ndiyo utajua kuwa ukiwa na akili basi utashinda kila kitu.
Pole PISI KALI Luckyline, unaonaje nikikuletea dawa sasa ili ikutibu nyonyo isiume [emoji848][emoji87]Nyie mpira unauma, unalipenda li team linakuangusha huna uwezo wa kuingia uwanjani basi ni kero tupu.
Mpaka nikakumbuka tulivyokuwa primary wanasema ukitaka kuroga team pinzani isifunge basi unakunja ka kidole ka mwisho kwenye mikono afu unashika kwenye nyonyo kila mpira unapokuwa kwa team pinzani, mpira ukirudi kwenye team yako unaachia ka kidole.
Tangu mpira unaanza ndo nimekunja ka kidole nimeshika kwenye nyonyo dah nina maumivu.
Akili pekee inatosha bila juhudi?...Kuna muda bahati pia inachangia.Ukicheki mpira wa Croatia vs Brazil ndiyo utajua kuwa ukiwa na akili basi utashinda kila kitu.