Timu zote 4 zitakazoingia nusu fainali Kombe la Dunia zitatoka Ulaya

Timu zote 4 zitakazoingia nusu fainali Kombe la Dunia zitatoka Ulaya

Wazungu waliwatesa babu zetu na bibi zetu na kuwadhalilisha na wakaiba mali zetu ila bado watu wana washobokea ila MORROCO kisa hajaitaja Africa tu kuna ng'ombe zilikuwa zimeshaanza eti ni wabaguzi lakini utasikia nipo ENGLAND na France waafrika kweli tumelaaniwa sio bure
Tofauti ni kuwa wazungu walifanya hayo miakamia saba iliyopita, wakati morroco wanasema hayo sekunde hii.
 
Ulaya ndiyo wakali wa kila kitu, siyo tech, siyo mpira, ustaarabu wa Dunia hii umeanzia Ulaya wpende ama uwachukie huo ndio ukweli, Yaani kila kitu.

Japokuwa hawana vipaji kama nchi za South America, lakini Europe wamejaliwa kitu muhimu zaidi kuliko vyote, akili. Ukicheki mpira wa Croatia vs Brazil ndiyo utajua kuwa ukiwa na akili basi utashinda kila kitu.
Bado hujafuta tu uzi wako
 
Vipi unajionaje sasa. Sura imeshakukauka kama ngozi wa tembo
 
Ulaya ndiyo wakali wa kila kitu, siyo tech, siyo mpira, ustaarabu wa Dunia hii umeanzia Ulaya uwapende ama uwachukie huo ndio ukweli, Yaani kila kitu.

Japokuwa hawana vipaji kama nchi za South America, lakini Europe wamejaliwa kitu muhimu zaidi kuliko vyote, akili.

Ukicheki mpira wa Croatia vs Brazil ndiyo utajua kuwa ukiwa na akili basi utashinda kila kitu.
Hebu rudia tena
 
Kweli kabisa,
Argentina ipo ulaya, Morocco ipo ulaya😂😂😂😂😂🤣🤣🤣🤣🤣🤣, yaani afrika ni wastaarabu kuliko hata hao mabwana zenu
Afrika vikongwe wanabakwa, albino wanauawa, watoto wanazalishwa, halafu unasema Kuna ustarabu?
 
Wachezaji wa Brazil wanaendekeza matumbuizo kiwanjani badala ya kufunga mabao na kushinda mechi.

Neymar na Antony wakipata mpira wanataka wawachenge wapinzani wao wote kitu ambacho hakiwezekani kbsa.
 
Nyie mpira unauma, unalipenda li team linakuangusha huna uwezo wa kuingia uwanjani basi ni kero tupu.

Mpaka nikakumbuka tulivyokuwa primary wanasema ukitaka kuroga team pinzani isifunge basi unakunja ka kidole ka mwisho kwenye mikono afu unashika kwenye nyonyo kila mpira unapokuwa kwa team pinzani, mpira ukirudi kwenye team yako unaachia ka kidole.
Tangu mpira unaanza ndo nimekunja ka kidole nimeshika kwenye nyonyo dah nina maumivu.
Ha haa 😂
Timu gani hiyo imekuangusha?
 
Back
Top Bottom