Timu zote 4 zitakazoingia nusu fainali Kombe la Dunia zitatoka Ulaya

Timu zote 4 zitakazoingia nusu fainali Kombe la Dunia zitatoka Ulaya

Sema tu bingwa atatoka ulaya possibly atakua France tena
 
Nyie mpira unauma, unalipenda li team linakuangusha huna uwezo wa kuingia uwanjani basi ni kero tupu.

Mpaka nikakumbuka tulivyokuwa primary wanasema ukitaka kuroga team pinzani isifunge basi unakunja ka kidole ka mwisho kwenye mikono afu unashika kwenye nyonyo kila mpira unapokuwa kwa team pinzani, mpira ukirudi kwenye team yako unaachia ka kidole.
Tangu mpira unaanza ndo nimekunja ka kidole nimeshika kwenye nyonyo dah nina maumivu.
Ha ha ha
 
Ulaya ndiyo wakali wa kila kitu, siyo tech, siyo mpira, ustaarabu wa Dunia hii umeanzia Ulaya wpende ama uwachukie huo ndio ukweli, Yaani kila kitu.

Japokuwa hawana vipaji kama nchi za South America, lakini Europe wamejaliwa kitu muhimu zaidi kuliko vyote, akili. Ukicheki mpira wa Croatia vs Brazil ndiyo utajua kuwa ukiwa na akili basi utashinda kila kitu.
Naaam
Umekula ngadu sasa

Moroco kapita
 
Wazungu waliwatesa babu zetu na bibi zetu na kuwadhalilisha na wakaiba mali zetu ila bado watu wana washobokea ila MORROCO kisa hajaitaja Africa tu kuna ng'ombe zilikuwa zimeshaanza eti ni wabaguzi lakini utasikia nipo ENGLAND na France waafrika kweli tumelaaniwa sio bure
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Back
Top Bottom